Duh... Mambo ya Ounsigaa!Naam Hoyo wangu alikuwa msomali alikuwa anasema ni matusi kwa mwanamke wa kisomali kunuka wao kununua na nyumba zao nywele wafukiza oud na oud bokhoor ya nyumba sio anayo jifukizia mwilini nywele au kwenye nyumba,asubuhi kisha pika chai ya maziwa somali Xhaa angelo(Angela) maini au nyama (beef sugaar) au sabayad(chapati) nyumba safi yanukia Alkhamis kuamkia ijumaa Mama aliniambia kwao Hergeisa wanawake wanafanya facial na steaming z nywele kwa hinna na qasir (unga wa majani ya mkunazi) sio u Tanga wa Somali wako hivyo ndo maana wanshika same zao hawafu
Ukienda Tanga niletee anjari haswa nyeupe naipenda harufu yake ya arki rose usisahau kamba wa Maforoni 😄nawapenda sana haswa ukiwa pika prawns curry au prawns biryani.
Wewe kweli Msomali, mimi nimeishi nao sana Canada. Waislam wazuri sana, wamenipa sana zawadi ya "unsiga" .Naam Hoyo wangu alikuwa msomali alikuwa anasema ni matusi kwa mwanamke wa kisomali kunuka wao kununua na nyumba zao nywele wafukiza oud na oud bokhoor ya nyumba sio anayo jifukizia mwilini nywele au kwenye nyumba,asubuhi kisha pika chai ya maziwa somali Xhaa angelo(Angela) maini au nyama (beef sugaar) au sabayad(chapati) nyumba safi yanukia Alkhamis kuamkia ijumaa Mama aliniambia kwao Hergeisa wanawake wanafanya facial na steaming z nywele kwa hinna na qasir (unga wa majani ya mkunazi) sio u Tanga wa Somali wako hivyo ndo maana wanshika same zao hawafu
Ukienda Tanga niletee anjari haswa nyeupe naipenda harufu yake ya arki rose usisahau kamba wa Maforoni 😄nawapenda sana haswa ukiwa pika prawns curry au prawns biryani.
Aisee kwa kweli Wazungu walituingiza chaka lakini watu hawashituki mpaka leoYesu hakuingea Kiswahili, tafuta biblia kwa kugha yake uone kama kuna "Yesu" mule .
Nakuhakikishia hutokuta Yesu wala Jesus mule.
kaka samahani Mzee mabruki unaemuongelea hapa ni huyu mwarabu wa Duga maforoni mwenye magari aliyaandika Bin Nassoro?Babu yangu alijaaliwa maarifa siku nyingi sana. Alijichagulia hiyo sehemu ambayo watu wote walikua wanaiogoppa. ikawa kajichagulia katikati ya matawi mawili ya mto ambayo yote,a yanatoa kamba kwa wingi wakati wa msimu, lile tawi kubwala mashariki na lile lenye mapango ya kiajabu, yote yapo kwenye eneo la shamba lake. Ule mto wa Mashariki ndio kwa upande wa pili jamii wanapata kuvuna msimu wa kamba, mto ule ndio mpaka wa shambani kwetu, huu mto wa Magharibi ni tawi dogo tu lisilokauka, linapita katikati ya shamba letu, mapango mawili makubwa moja ni kama ukumbi tu mkubwa, hayakutani kwa ndani, yote yapo ndani ya shamba letu.
Mji wa babu bado wanakaa wana familia au wanafunzi wanaokuja hapo mpaka leo hii.
Ukifika kuanzia mpakani horohoro mpaka unafika Duga maforoni ukiuliza Mzee mabruki kwake wapi, unaletwa hata na mtoto mdogo. Babu wengi wanafikiri Mbaruki ni jina lake, lakini ukweli ni kua kuanzia anafanya kazi Tanga 'Mabruki" ulikua ni msemo wake mkubwa, akimaanisha kupongeza kila zuri utaloilfanya,anakupongeza kwa kusema "mabruk" basi ikashika ndio likawa jina lake "Mzee Mabruki". Ukija Duga Maforoni tuna kwetu, vizazi vya Mzee Mabruki mpaka kesho. Lakini kwa Mzee Mabruki alipo ni kule shamba, baharini kwenye kamba wa kufa mtu. Qengi wanajua anakaa Duga mjini, hawajui pale ni kwake anakuja kwa shughuli zake tu, lakini makazi yake hasa ni kule shamba.
Kamba wa kufuga ilishindikana kabisa kule. Walikua na kazi kubwa sana, babu akasema sina hamu nao, hawa wa msimu wanatutosha na pesa zake hatuzimalizi. Ndio miradi ya kuvuna kamba kwa mwaka mzima ikaishia kwa kauli hiyo ya babu. Sasa kuna misimu miwili tu, msimu mkubwa na mdogo, na kila msimu una aina tofauti ya kamba. Miuiiza ya Muumba wetu hio.
Mpaka kesho, misimu yote ya kamba, nakua shmbani kwetu, navuna kamba tu.
Hilo jina langu nililokua naitwa tokea wakati wa Ramses na Barsis. Ndiyo jina langu haswa kwa miaka 5000 sasa.Arsis, hili Arsis ndiyo jina lako haswa au umejipachika tu?
Una maanisha ulikuwepo kabla ya hapo, maana unasema "kwa miaka 5000 sasa".Hilo jina langu nililokua naitwa tokea wakati wa Ramses na Barsis. Ndiyo jina langu haswa kwa miaka 5000 sasa.
Mimi nipo wapi na nafanya nini muda huu?haya jamani mwenye swali lake aulize. Arsis, ataanza kujibu.
Swali lako zuri sana. Kweli na sio kweli. Utawala wa Misri ambao unajulikana na ambao wasomi wa siku hizi wanadanganya una miaka 3000 mpa 5000 au zaidi kidogo, ni utawala wa zamani sana una miaka zaidi ya millioni. Walikuepo watu wa rangi zote na wa mataifa yote. Ni utawala mkubwa sana. Pale Misri, Giza ndio kitovu cha huo utawala lakini ulikua mpaka siku hizi mnaita Amerika, ulikuwepo Mpaka China ulikuwepo mpaka chini ya Afrika Kusini. Kule siku hizi barafu tupu, mnaita Antarctica, ipo miji mikubwa sana chini ya barafu. Mingine ipo chini ya bahari ya Mediterranean. Mengine ipo chini ya bahari yenu hapa Tanzania.Arsis ,je kwel jamii ya watu wa misri hapo kwanza walikua watu weusi na mafarao wa kwanza walikua sionwa race hiibya sasa??
Hii sio swali yangu. Atajibu simba.Huyu hana elim ya majini..... Elim ya majini utaipata kwa majini wenyewe,
Pia hawapendi kuitoa elim kuhusu wao
huyu shekh wetu ni kama anaongea vitu alivyosikia 🤝
(Unawazungumziaje majinn ikiwa hujawah hata kuwaona wala huna uwezo kwa kufanya nao communication
Bora mleta mada mara 💯 kuliko huyu ostadh🚶🚶
(Mimi miaka zaid ya 20 mpk nishawazoea wamekuwa kama ndugu sasa..... Ila nawafaham juu juu tu🤝
Jinn kusema asili yake sio kitu kidogo (akwambie koo yake na jina lake la asili hiyo story nyingine
Hasa hao maruhan ndo hatari kabisa, mara 💯 hao wengine wapo kawaida kiasi
Hapo nimecoment tu kuhusu audio niloisikia huko juuHii sio swali yangu. Atajibu simba.
Mimi siwezi kujibu hilo swali, mimi sio mtabiri, sio mganga wa kienyeji na sio mchawi.Mimi nipo wapi na nafanya nini muda huu?
Jinsi gani sasa wewe hujui nilipo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mimi siwezi kujibu hilo swali, mimi sio mtabiri, sio mganga wa kienyeji na sio mchawi.
Uliza maswali ya elimu itayoiwasaidia wengi. Watu wakijua au wasijue tupo wapi itawasaidia nini?