Naunga mkono hoja.Huyu ARSIS amejipambanua ni moja ya JINI mwenye nguvu na uwezo usioshindwa na jambo lolote isipokuwa Mungu. Kwa wema alio nao kwanini ASIZUIE maovu yanaoyotoke kwenye jamii zetu,Random bila kusubili kuitwa.
Alisema yeye ni Jini mwema, mwenye mapenzi mema, siyo mchawi/Mwanga.
Na anaona Mengi maovu kwenye jamii zetu, kwanini kwa uwezo wake asubiri kuzuia case chache nbadala ya kufanya hilo likawa ni jukumu lake la hiyari,kuangamiza na kuondoa uovu wote kwa uwezo wake wote.
Yani anafanya case chache na very isolated, lakini anadai dunia ina uovu mwingi. Yeye haonekani, hadhuriki, hana maslahi yoyote kwa chochote afanyacho, ahitaji pesa.
Sasa swali langu kwanini kwa kutumia jeshi lake la majini WEMA kama akina mzee Bakora na wamama hao wawili wasibebe jukumu hilo bila kuitwa, yani wazuie na waangamize majini maovu yote popote yalipo, au popote wakutanapo nayo?.
Nimeona incidents kadhaa au nyingi, anaokoa mtu anawaacha waovu waende zao, kwanini wasipate huku au kuangamizwa kabisa?
Kwa nilivofahamu mimi,Arsis kajipambanua kama kiumbe katika viumbe wa Allah,hajawahi jitangaza kama jini.Isipokuwa amejenga urafiki na Jini bakora na babu yake Simba kwa sababu walisaidia kumtoa kifungoni.Huyu ARSIS amejipambanua ni moja ya JINI mwenye nguvu na uwezo usioshindwa na jambo lolote isipokuwa Mungu. Kwa wema alio nao kwanini ASIZUIE maovu yanaoyotoke kwenye jamii zetu,Random bila kusubili kuitwa.
Alisema yeye ni Jini mwema, mwenye mapenzi mema, siyo mchawi/Mwanga.
Na anaona Mengi maovu kwenye jamii zetu, kwanini kwa uwezo wake asubiri kuzuia case chache nbadala ya kufanya hilo likawa ni jukumu lake la hiyari,kuangamiza na kuondoa uovu wote kwa uwezo wake wote.
Yani anafanya case chache na very isolated, lakini anadai dunia ina uovu mwingi. Yeye haonekani, hadhuriki, hana maslahi yoyote kwa chochote afanyacho, ahitaji pesa.
Sasa swali langu kwanini kwa kutumia jeshi lake la majini WEMA kama akina mzee Bakora na wamama hao wawili wasibebe jukumu hilo bila kuitwa, yani wazuie na waangamize majini maovu yote popote yalipo, au popote wakutanapo nayo?.
Nimeona incidents kadhaa au nyingi, anaokoa mtu anawaacha waovu waende zao, kwanini wasipate huku au kuangamizwa kabisa?
Hukuelewa, kasome vizuri ni jini mkubwa sana na mwenye mamlaka makubwa na pete yake majini wengi wanapiona wana weweseka.Kwa nilivofahamu mimi,Arsis kajipambanua kama kiumbe katika viumbe wa Allah,hajawahi jitangaza kama jini.Isipokuwa amejenga urafiki na Jini bakora na babu yake Simba kwa sababu walisaidia kumtoa kifungoni.
Mimi swali langu bado ni lipi jina la ALLAH ambalo ni ismul adhwam.?Hakuna neno, uliza chochote.
Hilo ni kweli kabisa, nimelisoma.Kwa nilivofahamu mimi,Arsis kajipambanua kama kiumbe katika viumbe wa Allah,hajawahi jitangaza kama jini.Isipokuwa amejenga urafiki na Jini bakora na babu yake Simba kwa sababu walisaidia kumtoa kifungoni.
Sisi sote ni majini humu kwa sababu hatujulikani.Arsis atakuwa ni jini kwa sababu na yeye hatumjui na wala hatumuoni.Arsis na Simba mkitulia tupe muendelezo huu uzi unatoa maarifa kwa wengi.Hilo ni kweli kabisa, nimelisoma.
Binafsi naamini ni jinni kwa kuwa haonekani ala hajioneshi.
Katika visa vya majinni na uchawi, nimekipenda sana hiki cha Arsis na ndicho nakifatilia kwa kina kabisa.
Ingawa ana nyodo huyo. Sijuwi sasa mwenye nyodo ni Simba au Arsis, lakini nakifatilia.
Namsalimia arsis mwambie nafurahia na kufatilia darasa lake ! Ila naomba kuuliza hivi ni kweli mtume Muhammad ,alimuoa Bi Aisha akiwa na miaka sita? Kama ni kweli naomba ufafanuzi wa kimazingira kipindi hicho,kidini,kisayansi, lingine hii ndoa naona Kama inanipotezea muda nataka kuacha mke je? Una lipi la kunishauri?Uliza tu usichokielewa.
Hakuna haja ya ushahidi wa mazingira, Huo ni ukweli kabisa.Namsalimia arsis mwambie nafurahia na kufatilia darasa lake ! Ila naomba kuuliza hivi ni kweli mtume Muhammad ,alimuoa Bi Aisha akiwa na miaka sita? Kama ni kweli naomba ufafanuzi wa kimazingira kipindi hicho,kidini,kisayansi, lingine hii ndoa naona Kama inanipotezea muda nataka kuacha mke je? Una lipi la kunishauri?
Huo ni ukweli usiopingika.Sisi sote ni majini humu kwa sababu hatujulikani.Arsis atakuwa ni jini kwa sababu na yeye hatumjui na wala hatumuoni.Arsis na Simba mkitulia tupe muendelezo huu uzi unatoa maarifa kwa wengi.
Dawa yako nyepesi sana. Kula majani ya mpera, au yasage unywe juisi yake.Ukirudi soma na mimi comment yangu,Kama kuna dawa ya chango linanitesa kweli linatembea kabisa kama mtoto tumboni na li feel ndo sababu naweza nikakaa hata miezi nisione period au nikafululiza ona nmeenda hospital had nimechoka sijapona nimekunywa dawa mbali mbali za asili wapi bado linanitesa
Ahsante sana kwa kunifatilia. Unajuwa wewe ni star JF, kufatiliwa na mtu maarufu kama wewe si jambo dogo.Hilo ni kweli kabisa, nimelisoma.
Binafsi naamini ni jinni kwa kuwa haonekani ala hajioneshi.
Katika visa vya majinni na uchawi, nimekipenda sana hiki cha Arsis na ndicho nakifatilia kwa kina kabisa.
Ingawa ana nyodo huyo. Sijuwi sasa mwenye nyodo ni Simba au Arsis, lakini nakifatilia.
Sikiliza Lidafo, nilikupa zoezi la kufanya sijui liliishia wapi lakini elimu uitakayo inaitwa "ladoun" imetajwa katika Qur'an, sehemu kadhaa.Mimi swali langu bado ni lipi jina la ALLAH ambalo ni ismul adhwam.?
Mara ya mwisho nakumbuka uliniambia sio jina kama jina bali ni code flani ya mawasiliano.
Ngoja nipitie comment za nyuma nione tuliishia wapi.
Hatari kubwa. Ni mtu unapokutana nae, ni jini usipoonana nae.Hukuelewa, kasome vizuri ni jini mkubwa sana na mwenye mamlaka makubwa na pete yake majini wengi wanapiona wana weweseka.
Kweli kabisa.Kwa nilivofahamu mimi,Arsis kajipambanua kama kiumbe katika viumbe wa Allah,hajawahi jitangaza kama jini.Isipokuwa amejenga urafiki na Jini bakora na babu yake Simba kwa sababu walisaidia kumtoa kifungoni.
Hatuyawezi yote, ukiona kuna vita vinavyoonekana elewa pia kuna vita visivyoonekana. Tunajitahidi kadiri ya uwezo wetu aliotujaalia Allah.Huyu ARSIS amejipambanua ni moja ya JINI mwenye nguvu na uwezo usioshindwa na jambo lolote isipokuwa Mungu. Kwa wema alio nao kwanini ASIZUIE maovu yanaoyotoke kwenye jamii zetu,Random bila kusubili kuitwa.
Alisema yeye ni Jini mwema, mwenye mapenzi mema, siyo mchawi/Mwanga.
Na anaona Mengi maovu kwenye jamii zetu, kwanini kwa uwezo wake asubiri kuzuia case chache nbadala ya kufanya hilo likawa ni jukumu lake la hiyari,kuangamiza na kuondoa uovu wote kwa uwezo wake wote.
Yani anafanya case chache na very isolated, lakini anadai dunia ina uovu mwingi. Yeye haonekani, hadhuriki, hana maslahi yoyote kwa chochote afanyacho, ahitaji pesa.
Sasa swali langu kwanini kwa kutumia jeshi lake la majini WEMA kama akina mzee Bakora na wamama hao wawili wasibebe jukumu hilo bila kuitwa, yani wazuie na waangamize majini maovu yote popote yalipo, au popote wakutanapo nayo?.
Nimeona incidents kadhaa au nyingi, anaokoa mtu anawaacha waovu waende zao, kwanini wasipate huku au kuangamizwa kabisa?
Kuingizwa kua mchawi, kama mmekisoma kisa cha Unguja, mtanielewa."washamwingiza" vipi kuwa mchawi? Hapa tuffanunulie Arsis.