Corazon Espinado nasubiri majibu hapa mkuu Arsis ana mtazamo gani juu ya majina ya BARHATIYAH na mafuta ya miskiNimefuatilia story yako toka mwanzo kuna elimu kubwa hapa hasa kuhusu viumbe wengine ambao binadamu tunawachukulia poa lakini maisha yetu mengi yanaathiriwa na viumbe hivyo either in positive way or negative way.
Kwa ufupi nikuwa:-
1. Majini wapo wazuri na wabaya kama walivyo binadamu ila ulimwengu wao hauonekani kwa macho ya kawaida.
2. Majini wema wanaweza kutoa misaada kwa mtu hasa aliyekumbwa na majini wachafu hii kwa wasomaji wa ruqya wanalijua sana
3. Qur an ina nguvu kubwa sana isiyomithilika ila wengi katika waislamu wanaichukulia poa.
Mwisho nina maswali ndugu la kwanza embu muulize Arsis anayajua majina ya BARHATIYAH na je ni katika shirki ?
Swali la pili, Muulize Je ni kweli mafuta ya miski yanawaumiza majini wabaya?
Masufi watakupotezea muda tu
Nitamuulizia kuhusu miski, nikumbushe kama sijakupaj jibu. Mambo mengi. lakini hio ya barahatia naijua, nadhani nimekujibu juu huko, lakini na hio nitaiulizia tena .Corazon Espinado nasubiri majibu hapa mkuu Arsis ana mtazamo gani juu ya majina ya BARHATIYAH na mafuta ya miski
Sawa, Hii ya BARHATIYAH sijaona nisaidie post # ngapi umeijibu.?Nitamuulizia kuhusu miski, nikumbushe kama sijakupajibu jibu. mambo mengi. lakini hio ya barahatia naijua, nadhani nimekujibu juu huko, lakini nayo nitaiuliza tena .
Sikumbuki post namba ngapi, lakini nitaulizia swali lako.Sawa, Hii ya BARHATIYAH sijaona nisaidie post # ngapi umeijibu.?
Alafu muulize na kuhusu kitabu cha Emrald.
Natanguliza shukurani Corazon Espinado
OkXSikumbuki post namba ngaoi, lakini nitaiulizia tena.
Nijulishe bas wewe unayeyajua mkuu wangu. Maana nimeona hapa kuwa dunia sio duara so kuna tabu kuuliza vitu obvious ambavyo umekuta tu vinaaminiwa hivyo?ya nin sasa mbona yote yanajukikana
Ukipata muda ingia DMSikumbuki post namba ngai, lakini nitaulizia tena swali lako.
sawa, sasa hivi.Ukipata muda ingia DM
kama ni majina ya allah iweje uyaite kwa lugha hio ya kiromania.dont you see may be you are awakening something else? sijui lakin.Corazon Espinado nasubiri majibu hapa mkuu Arsis ana mtazamo gani juu ya majina ya BARHATIYAH na mafuta ya miski
Kasome kitabu cha imamulbayhaqi kinaitwa manaqibu shafii utaona imam shafii alivowaelezea masufi na kuwaita kuwa hawana akiliKwanini, mbona masufi wako poa sana.
Sema kuna vikundi vya kisufi, mimi xivielewi elewi, Inabidi niviuliziee sana. Isipokua vingine navielewa sana.
Niliwahi kumuuliza babu yangu, yeye Wareika ipi? Akacheka sana, akanambia, bwana mkubwa, mimi tariqa zote, mradi wansema La ilaha ila Allah, mimmi nipo nao.
Sema babu yangu nae alikua ni mtu wa uradi sana, kuna nyiradi nyingi kanifundisha lakini fupi fupi sana. sema za muda mrefu. Nakumbuka alikua anasema usiewe na haraka unapotaka haja yako kwa Mungu, mrasi usichoke kumtukuza na kumtaja.
Nikamwambia mbona mamkuu, yaani binti yake, ana tasbihi kubwa boksi zima. Huyo mamkuu ni mazowea tu kumwita ma mkuu, lakini ni shangazi yangu, baba mmoja mma mmoja na babangu. Mie toaka mdogo naona kila mtu anamwita mamkuu. Nikajua ukubwani, walikua wa kike wengi upande wao na yeye ndio dada yao kina babu yangu na wapo wengi kweli, babake alijua kuzaa, wapo jumla 28 kwa wake wanne, huyo mamkuu ndio wa kwanza kuzaliwa katika matumbo yote manne.
Ndugu zake wa kike nao wamezaa sana, basi watoto wote wanamwita mamkuu, mpaka majirani. Ukienda Usagara tanga, mpaka leo ukiuliza kwa mamkuu wapi utaoneshwa, ndio bado nyumba ya marehemu babu ipo hapo. Mamkuu alikuaAlikua ananipenda sana mimi, mwenyewe alikua utotoni namsikia akisema, huyu msimpeke kulelewa kwa mama zake, huko watamfundisha uchawi na wanga waoi wale. Nilikua sielewi ana maanisha nini, siku hizi nafahamu, mawifi hua picha haziendi. Alikua poa sana lakini, nimekula sana shilingi shilingi zake. Mqwnywei Mungu amehemu.
Huwa tunamtania babu, tunamuuliza tasbihi la dadako umelirithi wewe nini? Anasema wamerithi wanawe, wanaligombania hilo utafikiri la dhahabu, kumbe hawajui nimetengenezea mimi, sema ile nimeichonga kwa kiini cha mizizi ya misandali, haiozi na inanukia mpoaka leo. Nakumbuka kweli boksi lake la mamkuu la tasnihi lilikua linanukia, nikijua analitia mafuta mazuri kumbe ni msandali. Kwa watu wa Tanga misandali wanaijua inavyonukia, ipo kwa baba yangu shamba, marufuku kabisa kuikata, hio, toka mwenyewe yupo hai. Anasema msiikate hii, ina wenyewe. Sijawaju mpaka leo hao wenyewe, ipo mitatu mikubwa sana.
Hata mimi nikirudi kariakoo lazima kichwa kiume ingawa najua fika kariakoo pazito sanaaaKkoo sipendi kwenda na nikienda narudi naumwa umwa kumbe kuna Mambo mengi
Mwaga moto mwaga moto mzee mngunyaKamba kwa chi ya rangi na chumvi nyiiiingi, si ndio?