yeah...very true mkuudawa ya pumba ni pumba ..... vikaragosi mnashida sana .... wivu na chuki vyote vyenu
Dalili za watu kushindwa kwa hoja ni kuanza kutukana, Kashanga endelea kuwabana bana siku hizi wamenyooka sana.
Ina maana kashaga anadonolewa sio? yaani wanamcheki sio? i mean wamemjua siyo... eeerr mtoto wa watu ama?
yeah...very true mkuu
kaja kijinga atapewa hizohizo za kijinga... Sikonge said it all, watu "wamemjua" Kashaga ... unfortunately hakuna anayetaka kuzaa nae
sasa hao kina NDESAMBURO,ARF wamewezaje? hata mh Mbowe miaka mitano aliyokaa pale Hai kabla hajagombea urais alifanya mengi sana na ndio maana liweza kuthubutu kugombea uraisi wa nchi hii! na hii ndio sabau wananchi wa hai walimchagua tena kwa kura nyingi! so why slaa hakuwatendea haki wana karatu?
Ka-shanga, unalifananisha na lile la kiu...ni au? Sioni ajabu ccm kwa ccm wakitukanana, kuzidiana ten pasent
Kashaga unahoja tena nzuri sana. Tuwe makini sana safari zijazo kumpatia mtu URAIS ambaye hata jimbo limemshinda. Waungwana ,kichwa cha kuku hakistahamili kilemba,, na hii inaweza kuwa hivyo kwa SLAA na wengine hata kama wako CCM.mimi siwezi kuwa mnafiki jimbo langu ni la moshi mjini ambalo nimeishi zaidi ya miaka 20 sasa,lakini ki ukweli ndugu Ndesamburo amefanya mengi sana pale na ndio maana unapokuja uchaguzi tunaweka vyama pembeni a kumchagua huyu mzee kwani yeye kama mbunge amefanya mengi sana na hata ukimuuliza mtoto mdogo atakuonyesha aliyofanya mzee Ndesa si kwenye maji tuu,Ndesa kasaidia,mashule,barabara,hospitali,masoko,michezo etc,sasa Slaa yeye kwanini jimbo lake liko kwenye hali duni hivi,miaka yote alikuwa anafanya nini?
safari ya kwenda loliondo ilinipa nafasi ya kufika jimboni Karatu na kujionea mambo mengi yaliyonivunja moyo na kunikatisha tamaa kabisa juu ya uwezo wa Dr Slaa! nilikutana na msururu wa kinamama wakiwa na ndoo wakienda sehemu za mbali kutafuta maji,pia kwa macho yangu niliweza kuona foleni ndefu sana za maji hii ilithibitisha kuwa kuna shida kubwa ya maji,pia niliweza kuona watoto wengi wa shule wakiwa hawana viatu miguuni,pia wananchi kwa ujumla walionekana wamekata tamaa ya maisha na nyuso zao zilionyesha hivyo! nikajiuliza hili si ndio jimbo la bwana slaa ambalo aliltumikia kwa miaka mingi,sasa kwanini alishindwa kutatua hizi kero za wananchi?? miaka yote alikuwa anafanya nini kama mbunge? kama jimbo dogo hili limemshinda je nchi angeiweza? nilijiuliza maswali mengi sana ambayo nilishindwa kuyapatia majibu kabisa
(Hii ni email niliyofowadiwa na rafiki yangu Mussa Mosha anayemiliki kampuni ya utalii pale Arusha na mfuasi mzuri wa chadema)
Kabla ya kumpa Kikwete aliyapima maendeleo ya Bagamoyo??Kashaga unahoja tena nzuri sana. Tuwe makini sana safari zijazo kumpatia mtu URAIS ambaye hata jimbo limemshinda. Waungwana ,kichwa cha kuku hakistahamili kilemba,, na hii inaweza kuwa hivyo kwa SLAA na wengine hata kama wako CCM.
Kama hiyo haitoshi, Mtu na Waziri mhusika, wapo kufungua Bomba la Maji ili akina mama wapate maji kwa urahisi.
Kama BAJAJI vile kwa akina mama Waja wazito...... Heheheee!!!!!
ooh sorry, nilisahau kumbe ni yeye mwenyewe amekubali kwamba wanamcheki, dahHahaaa MTM,
Siyo mie niliyesema.
Kashaga mwenyewe kwa Vidole vyake mwenyewe na Akili zake mwenyewe ndiye aliandika kuwa "LEMA ANAMJUA....."
Mie nimelionyesha tu hilo NENO na kuelewa kwamba kumbe mwenzetu WANAMJUA.
Nafikiri huko aliko, anaJUTA saana kumshambulia Slaa kwa PUMBA.
mimi siwezi kuwa mnafiki jimbo langu ni la moshi mjini ambalo nimeishi zaidi ya miaka 20 sasa,lakini ki ukweli ndugu Ndesamburo amefanya mengi sana pale na ndio maana unapokuja uchaguzi tunaweka vyama pembeni a kumchagua huyu mzee kwani yeye kama mbunge amefanya mengi sana na hata ukimuuliza mtoto mdogo atakuonyesha aliyofanya mzee Ndesa si kwenye maji tuu,Ndesa kasaidia,mashule,barabara,hospitali,masoko,michezo etc,sasa Slaa yeye kwanini jimbo lake liko kwenye hali duni hivi,miaka yote alikuwa anafanya nini?