Kaka Mpendwa
JF-Expert Member
- Jan 10, 2008
- 772
- 415
mimi siwezi kuwa mnafiki jimbo langu ni la moshi mjini ambalo nimeishi zaidi ya miaka 20 sasa,lakini ki ukweli ndugu Ndesamburo amefanya mengi sana pale na ndio maana unapokuja uchaguzi tunaweka vyama pembeni a kumchagua huyu mzee kwani yeye kama mbunge amefanya mengi sana na hata ukimuuliza mtoto mdogo atakuonyesha aliyofanya mzee Ndesa si kwenye maji tuu,Ndesa kasaidia,mashule,barabara,hospitali,masoko,michezo etc,sasa Slaa yeye kwanini jimbo lake liko kwenye hali duni hivi,miaka yote alikuwa anafanya nini?
wewe wasema mimi moshi siijui,sawa mdomo ni wako endelea kutoa pumba zako tuu! but BASIL LEMA yule kiongozi wenu wa CDM moshi manispaa ananijua na anaielewa sana
mkuu wewe una umri gani?? na umezunguka hii Tanzania kiasi gani?
Kuna wabunge wangapi wamedumu kwenye majimbo yao miaka na miaka lakini hakuna kitu??? Wewe umewahi kuwasikia watu wa Karatu wakilalamika??
Mbona Kikwete anashindwa kutawala hapa Tanzania, lakini anapata ulaji kusuluhisha migogoro huko nchi za watu? Hapa namaanisha kuwa kushindwa kuongoiza watu 2 haimaanishi utashindwa kuwaongoza maelfu.. Kuwa mbunge ni kuwa mwakilishi wa wanajimbo kuna baadhi ya mamlaka unayakosa..Huwezi kuamrisha serikali ijenge miundo mbinu, ila unachoweza kufanya ni kuiomba.
Lakini unapokuwa Rais una mamlaka yote! Unaagiza tu.
safari ya kwenda loliondo ilinipa nafasi ya kufika jimboni Karatu na kujionea mambo mengi yaliyonivunja moyo na kunikatisha tamaa kabisa juu ya uwezo wa Dr Slaa! nilikutana na msururu wa kinamama wakiwa na ndoo wakienda sehemu za mbali kutafuta maji,pia kwa macho yangu niliweza kuona foleni ndefu sana za maji hii ilithibitisha kuwa kuna shida kubwa ya maji,pia niliweza kuona watoto wengi wa shule wakiwa hawana viatu miguuni,pia wananchi kwa ujumla walionekana wamekata tamaa ya maisha na nyuso zao zilionyesha hivyo! nikajiuliza hili si ndio jimbo la bwana slaa ambalo aliltumikia kwa miaka mingi,sasa kwanini alishindwa kutatua hizi kero za wananchi?? miaka yote alikuwa anafanya nini kama mbunge? kama jimbo dogo hili limemshinda je nchi angeiweza? nilijiuliza maswali mengi sana ambayo nilishindwa kuyapatia majibu kabisa
(Hii ni email niliyofowadiwa na rafiki yangu Mussa Mosha anayemiliki kampuni ya utalii pale Arusha na mfuasi mzuri wa chadema)
wewe wasema mimi moshi siijui,sawa mdomo ni wako endelea kutoa pumba zako tuu! but BASIL LEMA yule kiongozi wenu wa CDM moshi manispaa ananijua na anaielewa sana
sasa hao kina NDESAMBURO,ARF wamewezaje? hata mh Mbowe miaka mitano aliyokaa pale Hai kabla hajagombea urais alifanya mengi sana na ndio maana liweza kuthubutu kugombea uraisi wa nchi hii! na hii ndio sabau wananchi wa hai walimchagua tena kwa kura nyingi! so why slaa hakuwatendea haki wana karatu?
thankssafari ya kwenda loliondo ilinipa nafasi ya kufika jimboni Karatu na kujionea mambo mengi yaliyonivunja moyo na kunikatisha tamaa kabisa juu ya uwezo wa Dr Slaa! nilikutana na msururu wa kinamama wakiwa na ndoo wakienda sehemu za mbali kutafuta maji,pia kwa macho yangu niliweza kuona foleni ndefu sana za maji hii ilithibitisha kuwa kuna shida kubwa ya maji,pia niliweza kuona watoto wengi wa shule wakiwa hawana viatu miguuni,pia wananchi kwa ujumla walionekana wamekata tamaa ya maisha na nyuso zao zilionyesha hivyo! nikajiuliza hili si ndio jimbo la bwana slaa ambalo aliltumikia kwa miaka mingi,sasa kwanini alishindwa kutatua hizi kero za wananchi?? miaka yote alikuwa anafanya nini kama mbunge? kama jimbo dogo hili limemshinda je nchi angeiweza? nilijiuliza maswali mengi sana ambayo nilishindwa kuyapatia majibu kabisa
(Hii ni email niliyofowadiwa na rafiki yangu Mussa Mosha anayemiliki kampuni ya utalii pale Arusha na mfuasi mzuri wa chadema)
safari ya kwenda loliondo ilinipa nafasi ya kufika jimboni Karatu na kujionea mambo mengi yaliyonivunja moyo na kunikatisha tamaa kabisa juu ya uwezo wa Dr Slaa! nilikutana na msururu wa kinamama wakiwa na ndoo wakienda sehemu za mbali kutafuta maji,pia kwa macho yangu niliweza kuona foleni ndefu sana za maji hii ilithibitisha kuwa kuna shida kubwa ya maji,pia niliweza kuona watoto wengi wa shule wakiwa hawana viatu miguuni,pia wananchi kwa ujumla walionekana wamekata tamaa ya maisha na nyuso zao zilionyesha hivyo! nikajiuliza hili si ndio jimbo la bwana slaa ambalo aliltumikia kwa miaka mingi,sasa kwanini alishindwa kutatua hizi kero za wananchi?? miaka yote alikuwa anafanya nini kama mbunge? kama jimbo dogo hili limemshinda je nchi angeiweza? nilijiuliza maswali mengi sana ambayo nilishindwa kuyapatia majibu kabisa
(Hii ni email niliyofowadiwa na rafiki yangu Mussa Mosha anayemiliki kampuni ya utalii pale Arusha na mfuasi mzuri wa chadema)
Adam AKAMJUA mkewe Eva, wakazaa mtoto wakamwita Kaini.
Akamjua tena, wakazaa mtoto...................
Mkuu Kashanga, kumbe na wewe kuna WANAUME wanaKUJUA? Na zaidi ni kuwa Wanakuelewa sana tu.
Pole sana kwa KUJULIWA SAAANA.

hakuna cha kudefend kama unajua namna funds za development zinavyo-trickle down the systemchadema haiwezi kuendelea kama itakuwa inajibu hoja kwa namna hii,instead of showing ur maturity in defending ur party through strong points u resort into nonsense and abusive words
chadema haiwezi kuendelea kama itakuwa inajibu hoja kwa namna hii,instead of showing ur maturity in defending ur party through strong points u resort into nonsense and abusive words
chadema haiwezi kuendelea kama itakuwa inajibu hoja kwa namna hii,instead of showing ur maturity in defending ur party through strong points u resort into nonsense and abusive words
Dalili za watu kushindwa kwa hoja ni kuanza kutukana, Kashanga endelea kuwabana bana siku hizi wamenyooka sana.