Aaah pamenoga haswaa...Kila sehem pamechangamka....ila kishiri ndo pamechangamka zaid due namba ya watu huku ni kubwa haswaHuu Uzi unataka my hood aisee
Kijereshi,
Nimeondoka huko zamani sanaaa....
Nimefurah KUONA comment za watu wa nyumbani japo hatufahamiani,
Nasikia pamedamshi
Hata hapo machinjioni Kuna daladala sikuizi,
Kwa Sasa +267
Kwani kuongea kilugha muiko?Ni wapi walipokuwa wakiongea kilugha. Eneo ama mtaa Gani
Upo kwa wa Swatna sio?Google mkuu,
Andika ivi... which country is +267 ??π€
Hata ulaya walikuwa ivyo ivyo mkuu. Miaka tu ya 1900 state ya Texas wanawake walikuwa wanapimwa sketi zao yaani Kuna specific kipimo kuanzia gotini downward. So sio kisa umesoma ya mkoloni, unajua kushika smart phone, ku drive na kula yai na kuishi kwenye kigae usidhani kuwa dunia yote iko Kama yako. Bado Kuna binadamu wenzetu wanaishi maisha Yale ya kijima na pia kumbuka changes Ni kizazi mpaka kizazi uelewe. Sio kirahisi unavyodhania.Niliwai kwenda Natta nzega Kule ndipo nili gundua kua Kuna Dunia nyingine Moja Kuna watu walishangaa kwann mm sijui kisukuma...
Wakawa wanadhani najifanyisha throwback 2008
We have a long journey kama taifa πΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏ
Zamani sana aisee duuAaah pamenoga haswaa...Kila sehem pamechangamka....ila kishiri ndo pamechangamka zaid due namba ya watu huku ni kubwa haswa
Sio muiko Wala mwiko. Hajui wazungu wenyewe Wana kabila zao na hizo lugha za mataifa yao Ni tizi kuzimasta. Franch, Germany language Ni national language Kuna makabila bado humo ndani ndani ya hizo nchi.Kwani kuongea kilugha muiko?
Tupo mzee...sema na sie tumeloea tu kwa sababu ya harakatiZamani sana aisee duu
Leo nimekutana na watu wa my hood ππππ
Jf ime unganisha watu wengi sana sikutegemea kama mtakuwepo humu π€
Umeandika Kwa makasiriko πππβΊοΈπHata ulaya walikuwa ivyo ivyo mkuu. Miaka tu ya 1900 state ya Texas wanawake walikuwa wanapimwa sketi zao yaani Kuna specific kipimo kuanzia gotini downward. So sio kisa umesoma ya mkoloni, unajua kushika smart phone, ku drive na kula yai na kuishi kwenye kigae usidhani kuwa dunia yote iko Kama yako. Bado Kuna binadamu wenzetu wanaishi maisha Yale ya kijima na pia kumbuka changes Ni kizazi mpaka kizazi uelewe. Sio kirahisi unavyodhania.
Hata nchi nyingi za ulaya watu hawajui English mfano tu. Na wapo wanaojua afrika Ni zoopark Wala hakuna wanachojua zaidi ya hayo hapo.
There is no way hayo maeneo uliyotaja utakuta wanaongea kilugha. Nilidhani unazungumzia mwanza ndani ndani huko. Maana hata Igombe tuu sio rahisi kukuta wanazungumza kilugha japo ni nje kabisa ya mji.Nimepita meco, buzuruga, igoma, natta na mkolan
Huu uzi nilijua hauwezi kukosekana hapa.πNamba 6 imenifurahisha ππππ
Huhuu watu wa Arusha kwa kujigamba ππΌββοΈ Na bangi zaoHuu uzi nilijua hauwezi kukosekana hapa.π
Mwanza ni pazuri sana, hasa ukiwa sehemu ambazo hazina uswahili kama Isamilo, Capri-point pametulia sana.Huhuu watu wa Arusha kwa kujigamba ππΌββοΈ Na bangi zao
NyakayondwaMaeneo mengi yaanza na 'Nya'...
Nyasaka
Nyashishi
Nyakato
Nyambiti
Nyakahoja
Nyamongolo
Nyashana
Nyashishi
Nyamadoke
Nyakanazi. nk
Inaonekana humu wengi vilugha vyenu hamvijui kiasi inawakera mkisikia wenzenu wakiongea lugha zao, mie niko mbali na asili yangu lakini navyokitwanga kilugha km niko home tu, wanaoshangaa watajiju hawanihusu
Ni ushamba mkuu na inferior complex ya watu wa Mwanza ..Hata hiyo mwanza yenyewe hapo mjin wamejenga watu wa kaskaziniArusha cjui iliwakosea nin watu wa Mwanza, ikumbukwe hapa TZ jiji ni moja tu Bongo Dar es salaam
Vipi bei za mbususu za huko?Wakuu wazima?
Nafikiri kuna kapost kangu niliwah post humu kuuliza sehem nzuri ya kupumzika kwa hapa Mwanza.
Sasa kwa kipindi hiki cha wiki 2 nilizokaa huku hay ndo niliyoyaona na kujifunza
1. Wanawake wanapiga kazi sana huku(wanajishughulisha) mida ya jioni barabarani utakutana nao sana wakiuza either matunda, dagaa, samaki, maharagwe yaliyochemshwa tu, nyanya na vikorombwezo vingine4, pia wanachoma mahindi na kuyauza
2. Wengi wa wasichana huku ni waoga sana hasa kwa strangers
3. Draft la huku wengi hucheza French( hawajui kuhusu British)
4. Kila wanapokaa hudhani wote ni wa huku hivyo huongea tu kilugha
5. Hotels and Lodge za huku no bei rahis sana sana huanzia 30k
6. Mwanza ni mji mzuri sana, una mandhari nzuri kuliko Arusha( kwa mtazamo wangu)
Asanteni wakuu