Uharamia niliuacha zamani maana mwisho wa siku wajikuta wewe ndio unaumia na si mwenziwako.
Nilishawahi kuhack email ya mchumba enzi hizo kwa kutumia keylogger sijui kama bado zipo hizo software. Niliyoyakuta yakikuwa mazito labda niweke bandiko mahusui la kueleza mkasa mzima.
Pia nilishafanya backup ya simu yake hapo hata kama anatumia pin au pattern au password hua haja ya kuzijua ila unatumia ti usb cable connect simu yake kwenye pc then watumia software matata za backup mzee kama file scavenger nk hizo zinarudisha hata kama ujumbe alifuta au picha vinarudi.
Nilichojionea duh sikutake endela tena, na hizi kazi.
Sababi zinachukua muda wako mwingi kumpekua pia ukishapona ukweli unaomia waweza jiumbia magonjw ya ajabu ajabu ya akili na mwili.
Kisa kimoja tu nishirikiana na ninyi;:
Paja jamaa yangu alikuwa na demu wako miaka ya zamani kidogo, basi binti alichukua kamare ya mr wake akenda nayo kwa muda wa wiki mbili hivi. Kumbe binti alikuwa na kajamaa tena walikuwa na kajipati flani so akachukua kamera ili wajifotoe za ukumbusho.
Binti alivyomaliza kuitumia kamera akafuta picha zoote na kumrudishia jamaa yangu.
Jamaa naona alihisi kitu ila hakuw na uhakika ndipo akanipatie hiyo kamera yake mzee nikaito memory card yake na kuitumia kwenye deep scan ya scavenger mapicha yoote yakarudi na video kama ndio zimepigwa upya jamaa akajionea usaliti wa demu wake.
Ndio maana sishauri mtu kufanyia mtu wako vetting mwisho huwaga mbaya sana.
Mtoa posti haimaanishi upo salama,
Na mke au mume ngumu wachunga wakiamua fanya yao watafanya tu...aidha kazini au njiani nk na usipate ushahidi wowote ktk simu au mitandao.