hitler2006
JF-Expert Member
- Sep 1, 2014
- 490
- 459
Nimekaa Segerea kwa miezi miwili...
Mkuu hesabu ya boss ilikaa vibaya.Ulifanyaje?
Kama umekaa Segerea hongera. Ulikuwa selo ipi bwana mkubwa?
Nilikaa Karanga Moshi, kidogo niwe chizi.
Kwa hiyo akina Mengi, Bakhresa wamepitia huko? Nauliza tu.