Niliyoyakuta Keko

Niliyoyakuta Keko

Kunonu Teknolojia walinituma nikampelekee mteja 'memory card' ya kamera. Nikiwa namsubiri mteja tuonane, macho yangu yakashuhudia ya kwenye 'muvi'. Mwanamke aliyembeba mtoto mdogo mgongoni huku kichwani kabeba ndoo angavu iliyojaa 'juisi za kandoro'. Akasimamishwa na mwanaume mmoja aliyeonakana ametoka 'lanchi'.

Huku akiongea na simu, mwanaume akatoa 'nyekundu' moja akampa yule mwanamke. Yule mdada akatua ndoo ampe 'juisi', lakini yule mwanaume alitikisa mkono ishara ya kutosheka na akaendelea na safari.

Yule mdada hakuamini kilichotokea, aligeuka kumwangalia jamaa zaidi ya mara mbili pasi macho kugongana. Alivuka barabara na kugeuka tena, jamaa aliendelea tu.

Nikajisemeza moyoni, ivi zile 'juisi za kandoro' hata zingeuzwa zote bado zisingefikia ile hela. Na yule mdada angetumia muda gani kumaliza huo mzigo? Na vipi kuhusu mtoto, na hili jua kali la jiji la Wazaramo? [emoji848]

Nikajiambia nikiwa mkubwa nataka niwe kama yule 'braza' wa Keko.

Simulizi hii imedhaminiwa na Kunonu Teknolojia , wauzaji wa memory cards, USB Flash Drives hard disks na SSDs.

Wasiliana nasi #0629831936 au #0765542197 tukuletee bidhaa yako popote Tanzania. View attachment 2392562
Dah! Naona hao jamaa wa Mbengo zetafongoka hapo pembeni wanakaribia kupasuka aisee!! Ni fungu ka 10 hilo bila shaka!!

Siku zote hata mimi falsafa yangu ni kusaidia wenye uhitaji, badala ya kwenda kuwafurahisha viongozi wa dini.
 
Stori zisizoishia na happy ending uwe unakaa nazo tuu...

Nilidhani labda jamaa alimkunja ukiwa unaona live, na kavideo ungetutumia[emoji23]
Au ningesema itaendelea... [emoji23]
 
usiache kuchukua bidhaa anayouza,hii kisaikolojia itamjenga zaidi.

mfano umekuta dogo wa kike anauza mboga kachoka kachafuka na zimeshanyauka kwa kupigwa jua.

wewe toa ten au tano agiza fungu 2 mwachie chenji sepa kawape hata ng'ombe wako nyumbani au kuku,hii itamjenga kwamba hata msaada wenye heshima huambatana na masharti yenye utu ndani yake na hasa hakuna kitu cha bure duniani.
Hii hekima naiiba kabisa hii, nitawagawia na wajukuu zangu [emoji120]
 
Kunonu Teknolojia walinituma nikampelekee mteja 'memory card' ya kamera. Nikiwa namsubiri mteja tuonane, macho yangu yakashuhudia ya kwenye 'muvi'. Mwanamke aliyembeba mtoto mdogo mgongoni huku kichwani kabeba ndoo angavu iliyojaa 'juisi za kandoro'. Akasimamishwa na mwanaume mmoja aliyeonakana ametoka 'lanchi'.

Huku akiongea na simu, mwanaume akatoa 'nyekundu' moja akampa yule mwanamke. Yule mdada akatua ndoo ampe 'juisi', lakini yule mwanaume alitikisa mkono ishara ya kutosheka na akaendelea na safari.

Yule mdada hakuamini kilichotokea, aligeuka kumwangalia jamaa zaidi ya mara mbili pasi macho kugongana. Alivuka barabara na kugeuka tena, jamaa aliendelea tu.

Nikajisemeza moyoni, ivi zile 'juisi za kandoro' hata zingeuzwa zote bado zisingefikia ile hela. Na yule mdada angetumia muda gani kumaliza huo mzigo? Na vipi kuhusu mtoto, na hili jua kali la jiji la Wazaramo? [emoji848]

Nikajiambia nikiwa mkubwa nataka niwe kama yule 'braza' wa Keko.

Simulizi hii imedhaminiwa na Kunonu Teknolojia , wauzaji wa memory cards, USB Flash Drives hard disks na SSDs.

Wasiliana nasi #0629831936 au #0765542197 tukuletee bidhaa yako popote Tanzania. View attachment 2392562

Mimi nikiwa mkubwa nataka niuze memory cards kama mleta mada
 
Unakuta mtu ananunua anashiriki baraka za ujenzi kwa laki tano alafu hajawai toa hata senti kwa omba omba au hata kumlipia nauli mwanafunzi[emoji28] na anavimba yeye mtakatifu
Pepo/mbingu/akhera ni ya wachache mno, tulio wengi kwetu tunakujua [emoji23]
 
Back
Top Bottom