Hongera sana mkuuBibi yangu aliyekuwa rafiki yangu mkubwa na mshauri ulipotangulia mbele za haki na akaniacha na maumivu makubwa sana. Ukiwa uliisha ila chuki yangu na mjomba imekuwa kubwa mara baada ya msiba wake.
Bibi alipofariki mjomba alikuwa Dar, yeye ndiye kijana mkubwa wa kiume kwa bibi ila mama ndiye mtoto wa kwanza kwa Bibi hivyo mimi pia ni mjukuu wa kwanza kwa bibi, alinipenda sana japo kijana wake hatuelewani sana (mjomba) baada ya bibi kufariki mjomba akapigiwa simu akataka tumpeleke bibi mochwari ili aje kumzika. Kama kawaida nilikuwa mratibu wa mipango yote ya bibi kwenda mochwari mimi ndiye nilitafuta gari mwenyewe ila pesa alikuwa analipia mjomba.
Basi mjomba akafika nyumbani akataka mwili wa Bibi ufuatwe kwa ajili ya mazishi na kwa vile mimi ndiye nilijua nilipoupeleka nikakaa kimya kuona nani ataenda kuufuata. Mjomba akasema anaenda yeye na marafiki zake kutoka Dar nikamuuliza anajua mwili ulipo akasema hajui, nikamwambia basi kaa nyumbani niende mimi. Eti ile kauli ikampa hasira, nikasema kwa vile yeye ni mtu mzima nitampa heshima zake pia sitamuudhi kwani yupo katika majonzi makubwa.
Mjomba alinitaka nije na mtu wa kurekodi video na picha ili aweke kumbukumbu ya tukio hilo kubwa katika maisha yake. Basi nikaenda nikachukua bibi mochwari nikatafuta mtu wa video akanirekodi pale mochwari wakati nafanya mipango ya kurudi nyumbani na mwili akanirekodi sana nikatazama video nikaona amerekodi vizuri basi tukawasha gari yeye akiwa kwenye gari nyingine mbele anaendelea kunirekodi.
Tukafika kijijini nikasimama karibu na nyumbani nikamtaka anirekodi akanirekodi ndipo tukaenda msibani sasa, maana nyumbani na msibani siyo mbali sana, tumefika karibu na msiba nikamwambia yule mtu wa video atarekodi watu ambao mimi nitamwonesha tu kama sijamwonesha asirekodi basi nikamwonesha Mama, mdogo wangu, rafiki yangu yule niliyempiga, kuna dada mmoja nilikuwa namtongoza naye nikamwambia amrekodi na shangazi zangu wawili pia.
Basi tukafanya shughuli zote na muda wa kuzika ukafika, tulipewa maua ya kuweka kaburini nikarekodiwa wakati napeleka maua mimi, mama yangu na wale wengine niliomwonesha mtu wa video. Wakati huo mjomba na wageni wake wa Dar wanajua kuwa na wao wanarekodiwa kumbe hawamo mimi nimenyamaza tu. Basi baada ya siku 4 mjomba alitaka niende kuleta CD ya msiba wa Bibi mjini na nikaenda. Usiku tumemaliza kula akatoa laptop yake akaweka CD na tukakaa yeye na wageni wake tukaanza kutazama video ya msiba wa Bibi.
Tunaangalia ananisema mara kwanini ulikuwa unapiga picha na mama kwa kujidai mara nikaenda na mwili wake hadi nyumbani kurekodi video alikasirika sana eti nimeenda na mwili wa mama yake nyumbani kurekodi kwetu. Alikasirika sana ila mama akawa ananitete kuwa muache mtoto.
Basi video ilipoisha akauliza mbona mimi na marafiki zangu hatupo kwenye video nikamuuliza kwani nimerekodi mimi? Akapata hasira alinipiga mbele ya marafiki zake na mama akisema nimetafuta mpiga picha mbaya hajui kitu video nzima nipo tu mimi. Ugomvi ule ulikuwa mkubwa hadi marafiki zake wakaingilia kati ukiona hadi mjomba analia ujue kweli ana hasira ila nilifanya hivyo kulipiza mengi aliyonifanyia Dar wakati nipo kwake.
Ile CD akaisusa namimi nikasema hakuna shida nikaichukua na kuitunza mara nyingine huwa tunaenda nayo kwa jirani mwenye Tv tunaangalia na ama na wale marafiki zangu tuliorekodiwa tunafurahi na kurudi nyumbani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Huo ujasiri wa kurekodi marehemu huwa mnautoa wapi? Hata kama msiba ni sherehe, hivi unaweza kabisa ukaweka video ya msiba au mazishi ukaangalia hafu kitakofuata utafurahi au kuhuzunika?Bibi yangu aliyekuwa rafiki yangu mkubwa na mshauri ulipotangulia mbele za haki na akaniacha na maumivu makubwa sana. Ukiwa uliisha ila chuki yangu na mjomba imekuwa kubwa mara baada ya msiba wake.
Bibi alipofariki mjomba alikuwa Dar, yeye ndiye kijana mkubwa wa kiume kwa bibi ila mama ndiye mtoto wa kwanza kwa Bibi hivyo mimi pia ni mjukuu wa kwanza kwa bibi, alinipenda sana japo kijana wake hatuelewani sana (mjomba) baada ya bibi kufariki mjomba akapigiwa simu akataka tumpeleke bibi mochwari ili aje kumzika. Kama kawaida nilikuwa mratibu wa mipango yote ya bibi kwenda mochwari mimi ndiye nilitafuta gari mwenyewe ila pesa alikuwa analipia mjomba.
Basi mjomba akafika nyumbani akataka mwili wa Bibi ufuatwe kwa ajili ya mazishi na kwa vile mimi ndiye nilijua nilipoupeleka nikakaa kimya kuona nani ataenda kuufuata. Mjomba akasema anaenda yeye na marafiki zake kutoka Dar nikamuuliza anajua mwili ulipo akasema hajui, nikamwambia basi kaa nyumbani niende mimi. Eti ile kauli ikampa hasira, nikasema kwa vile yeye ni mtu mzima nitampa heshima zake pia sitamuudhi kwani yupo katika majonzi makubwa.
Mjomba alinitaka nije na mtu wa kurekodi video na picha ili aweke kumbukumbu ya tukio hilo kubwa katika maisha yake. Basi nikaenda nikachukua bibi mochwari nikatafuta mtu wa video akanirekodi pale mochwari wakati nafanya mipango ya kurudi nyumbani na mwili akanirekodi sana nikatazama video nikaona amerekodi vizuri basi tukawasha gari yeye akiwa kwenye gari nyingine mbele anaendelea kunirekodi.
Tukafika kijijini nikasimama karibu na nyumbani nikamtaka anirekodi akanirekodi ndipo tukaenda msibani sasa, maana nyumbani na msibani siyo mbali sana, tumefika karibu na msiba nikamwambia yule mtu wa video atarekodi watu ambao mimi nitamwonesha tu kama sijamwonesha asirekodi basi nikamwonesha Mama, mdogo wangu, rafiki yangu yule niliyempiga, kuna dada mmoja nilikuwa namtongoza naye nikamwambia amrekodi na shangazi zangu wawili pia.
Basi tukafanya shughuli zote na muda wa kuzika ukafika, tulipewa maua ya kuweka kaburini nikarekodiwa wakati napeleka maua mimi, mama yangu na wale wengine niliomwonesha mtu wa video. Wakati huo mjomba na wageni wake wa Dar wanajua kuwa na wao wanarekodiwa kumbe hawamo mimi nimenyamaza tu. Basi baada ya siku 4 mjomba alitaka niende kuleta CD ya msiba wa Bibi mjini na nikaenda. Usiku tumemaliza kula akatoa laptop yake akaweka CD na tukakaa yeye na wageni wake tukaanza kutazama video ya msiba wa Bibi.
Tunaangalia ananisema mara kwanini ulikuwa unapiga picha na mama kwa kujidai mara nikaenda na mwili wake hadi nyumbani kurekodi video alikasirika sana eti nimeenda na mwili wa mama yake nyumbani kurekodi kwetu. Alikasirika sana ila mama akawa ananitete kuwa muache mtoto.
Basi video ilipoisha akauliza mbona mimi na marafiki zangu hatupo kwenye video nikamuuliza kwani nimerekodi mimi? Akapata hasira alinipiga mbele ya marafiki zake na mama akisema nimetafuta mpiga picha mbaya hajui kitu video nzima nipo tu mimi. Ugomvi ule ulikuwa mkubwa hadi marafiki zake wakaingilia kati ukiona hadi mjomba analia ujue kweli ana hasira ila nilifanya hivyo kulipiza mengi aliyonifanyia Dar wakati nipo kwake.
Ile CD akaisusa namimi nikasema hakuna shida nikaichukua na kuitunza mara nyingine huwa tunaenda nayo kwa jirani mwenye Tv tunaangalia na mama na wale marafiki zangu tuliorekodiwa tunafurahi na kurudi nyumbani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani siku tukikutana andaa kabisa jero langu la bando, nimesoma huu utumbo wako hapa na sijaambulia chochote.Bibi yangu aliyekuwa rafiki yangu mkubwa na mshauri ulipotangulia mbele za haki na akaniacha na maumivu makubwa sana. Ukiwa uliisha ila chuki yangu na mjomba imekuwa kubwa mara baada ya msiba wake.

...msishangae kuonaBibi yangu aliyekuwa rafiki yangu mkubwa na mshauri ulipotangulia mbele za haki na akaniacha na maumivu makubwa sana. Ukiwa uliisha ila chuki yangu na mjomba imekuwa kubwa mara baada ya msiba wake.

Majingakama haya yako. DARWewe ni mjinga yaani unatumia advantage ya kifo cha mama mtu kumlipizia kisasi? Nadhani hata huko Dar wewe ndiye mwenye makosa na siyo mjomba wako. Na unajisifu kuchukua picha ya demu unayemtongoza. Kweli umemuaibisha mama yako. Kijana wa kwanza katika matukio ya misiba na harusi hupaswa kuwa kimbilio lakini kwako ni bora hata usingekuwepo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bibi yangu aliyekuwa rafiki yangu mkubwa na mshauri ulipotangulia mbele za haki na akaniacha na maumivu makubwa sana. Ukiwa uliisha ila chuki yangu na mjomba imekuwa kubwa mara baada ya msiba wake.

Legend
Sio kila hadithi ifundishe.Kuburudisha tu peke yake inatoshaHadithi hii inatufundisha nini?
pdidy bro come onMajingakama haya yako. DAR
Mengi shida yanakuwa na uwezo kuzidi wajomba ndipo maana wanadharaau wazaziii mjomba wakoo n. Mamayakoo. Kama. Unajua. Umemuaibishaa. Mjomba na maMaakaaibikaa kweupe wajomba wakisema neno huchomo8 hattauwe na hela za fmassons
KUNA MOJA 2010 LILIWAHINIFANYA MTOE 550"000YAJENEZA NA USAFIRI.. ANA KAHELA CHAKE MBUZI TUMEFIKA MOSHI AKAMBIWA ZIMEKUSANYWA KADHAA ZA WAJUKUU.. WAJUKUU WAMEOMBA WAPEWE WAJOMBA WAWILI WALIOBAKIA HIZO HELA KASIMAMA NO BIBI ANATAKIWA AZIKWE NA JENEZA ZURI.. NKAMUULIZA UR BR USHAENDA KUONA JENEZA LA BB... AKADAI HIZI PESA ACHUKUI MTU NAONGEZEA TUNANUNUA JENEZA LA LAKI KADHAA NKAMWANGALIA NINA USD 3500TOKA CONGO CONGO... NKAONA KUBISHANA AOSAIDII HADHARAN NKAMWITA NKAMWOMBA HIZO 400000 WAPE HAO WAZEE M NAENDA NA WEWE CHAGUA GARI NA JENEZA LISIZIDI 650 MBELE Y\ BABAKE NA UNCLE ZETU NA WENGINEO NKKWOMBA HAYA TINAFANYA KAMA NDUGU ACHANA NAMAMBOYA KUTANGAZA HUYU KAFANYA KILE.. NK\ZIMUA D. CABIN MOJA MPAKA KCMC TUKAZUNGUKA WAKAPATA ANALOTAKA YEYE NKALIPIA BIBI AKALAZWA SWAFIII
NILIPOONA ANAZIDI UMBEA KILANDUGU ANAKUJA NIKISI WENGINE NTEMEA MATA YA UPENDO NIMEZIKA NKAITA MBEGE PIPA.. KRETI MBILI ZA BIA NKACHAPA LAPA MAMBA KOTELA.... PATA DOMPO ZANGU MBILI CHUMBANI HUO NDIO UPENDO
UKIBISHANA NA MJOMBA UNA SHIDA KICHWANI..... WALE WAJOMBA KILA SIX MONTHS WAKO KWANGU DAR KULA MAISHA YA UPENDO NILICHONACHO NAWAPA WANARUDI MOSHI... BARAKA ZINGINE SIO LAZIMA FMASSONS