Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,498
- 113,604
kama mpango wenyewe ndo huo no comments..........2 jiandae na vilio tu
kwani yeye mkwere ana elimu ya kiwango gani
Hii habari na hizo hoja ni za kubuni, ya ama mtoa hoja au huyo "mwanajeshi".
Nimjuavyo Kikwete, hata iweje hana majibu ya dharau kwa amjuae na asiemjua.
Ewe mtoa hoja, kumbuka, uongo ni kitu kibaya hasa katika hali na janga kama hili lilitokuta wa-Tanzania wote.
Sasa hii hoja yako una maana Kikwete ndio aliyoyataka haya maafa?
Au unataka kutuambia tusiwa-amini wanajeshi wetu?
Siamini kama kuna mtu mwenye akili timamu aende akahujumu kusababisha vifo, majeruhi, hasara na mtafaruku kama huo eti kwa sababu tuu analipwa kidogo.
Wacha uzandiki.

Wakulu natumai wote mko poa. Jana baada ya kurudi zangu nyumbani mida ya jioni nilienda kumtembelea rafiki yangu ambaye ni afisa wa Jeshi la wananchi kambi ya Lugalo. Katika mazungumzo yetu tuliongelea kwa kirefu suala la milipuko ya mabomu kule Mbagala na hasa ya hivi karibuni kule kwenye ghala kubwa la silaha la Gongo la Mboto. ama kwa hakika nilishtushwa na jinsi mwanajeshi yule alipotabanaisha tena kwa kujiamnini kuwa kuna hujuma kwenye tukio la Gongo la Mboto. Alinieleza kuwa huko nyuma wanajeshi wa vyeo vya chini ama non-officers walikutana na mkuu wa nchi kumueleza tofauti za kimaslahi kati yao ma maofisa amabao wanapata mishahara minono na marupurupu kibao. Walimuomba mkuu ajaribu kuwaongezea mishahara maana wao ndio wapiganaji na wavuja jasho a kusiwe na gap kubwa kati yao na maofisa wanaoanzia nyota moja na kuendelea. kama kaaida yake mkuu wetu wa aliwajibu kwa kebehi na dharau kuwa kama wanataka mishahara mikubwa basi waende shule wakaongeze elimu!!! Jibu hilo halikuwaridhisha wapiganaji wa vyeo vya chini na wakaapa kufanya hujuma mpaka kieleweke na moja ya hujuma ni hiyo ya hivi karibuni ya milipuko ya Gongo la Mboto ambapo kwa mujibu wa jamaa yangu hakuna mwanajeshi hata mmoja aliyepoza maisha achilia mbali kujeruhiwa. Akaendelea kutabanaisha kuwa tukio hilo ni cha mtoto maana mengine yatakuja tena ya kiwango kikubwa hadi kieleweke kwa kweli nilishtushwa sana. Akamalizia kwa kusema " mama mwenye nyumba akimnyanyasa msichana wa kazi basi akienda kazini house girl anamalizia hasira zake kwa watoto wake"
Kwa kweli kama jamaa anayosema ni ya kweli basi kazi tunayo na anasema bado kila Kambi yenye silaha tutegemee maukio kama haya... Naomba kuwasilisha...