Kivipi mkuuu? Sasa mfano hapo kinyume chake ni kipi?Ndoto huja kinyume
Na hiyo ndo njia pekee ya kumaliza hayo maandamano mara moja, viongozi wa makundi yote watakutana fasta na kuzungumzia lugha Moja ya AMANI na hapo utulivu utapatikana watu hawatoamini........haya madhila yote mnayoayaoni anayofanyiwa Samia ni UDINI tu hakuna jingine, hilo naweza hata kuapa. Ni udini tu.Kuelekea 9 DEC Nimeota maandamano yatakuwepo na maeneo yatakayoshambuliwa zaidi ni misikiti na makanisaa ila ni ndoto tuu ya kupuuzwa.
Nimepita kinyerezi eti Polisi wamepaki gari pale BM Bar, tena gizani, nikawaza hawa wapumbavu si unaweza kuwarushia bomb tu na giza hili?Kuelekea 9 DEC Nimeota maandamano yatakuwepo na maeneo yatakayoshambuliwa zaidi ni misikiti na makanisaa ila ni ndoto tuu ya kupuuzwa.