Mambo gani mate?Mimi namshukuru Mungu nilijiapiza sitofanya mambo mawili na hadi leo nimefanikiwa japo kwa mbinde, msiniulize ni mambo gani
Me pia nimganga karibu sanaHilo la kwenda kwa mganga,naona kila dalili ya kulitekeleza kbl ya mwaka kuisha
Hilo la kwenda kwa mganga,naona kila dalili ya kulitekeleza kbl ya mwaka kuisha
Changamoto wanapata binadamu na wanazishinda ama wanafeli bila kujali wanamtumaini Mungu or not
Umekula go mkuu?Yote ishayafanya kasoro lakwamganga2
Tatizo hujanielewa.,Endelea kuwategemea waganga wa kienyeji nami niendelee kumtumainia Mungu.
Kuna ukweli ukipata shida unawaza hio possibilityJana nilikuwa naangalia channel ten walisema ilikuwa siku ya kuzuia kujiua. Yule mwanasaikolojia alisema kuna uwezekano mkubwa kwa mtu aliyewahi jaribu kujiua kurudia tena
Mkuu tupe uzoefu mashoga wakojeMm nimefanya vyooote hapo hadi kula tigo za Mashoga....
Huwa nikijitafakari nachoka!!!
Allah Anisamehe aisee!
Kaka vipi mbona umepata muhemko???Mkuu tupe uzoefu mashoga wakoje
Je, ulipokwenda kwa mganga matatizo yako yaliisha? Ulifanikiwa?Ndugu zangu!
Mwenzenu nilipokuwa kijana niliapa katu katu sitokuja kujaribu kufanya mambo haya matano!
Nilichojifunza Usijiapize kitofanya kitu bila kuwa na ufaham wa namna ya kuepukana nacho.
- Niliapa kutozaa watoto nje ya ndoa.... lakini hadi mda huu Leo nina watoto watatu nje ya ndoa inaniuma sana lakini basi tu
- Niliapa sitokuja kutembea na mke wa MTU katukatu...Daah kusema ukweli hilo nalo nimepitiwa nimewalaaa sana utafikili wametumwa kunijaribu
- Kufanya mapenzi kwenye gari; Yaani nilikuwa nawashangaa sana wanaofanya kwenye gari, lakini siku nilionja nikazoea kwanza hata guest nikaanza kuona ni hasara
- Kwenda kwa mganga; Niliapa sitakanyaga kwa mganga, Baada misukosuko ya kikazi nilimtafta mganga mwenyewe bila shurti
- Nililofanikiwa hadi sasa nikotokula TGO ya mtu; Kusema ukweli hili nimeshinda ingawa majaribu yalikuwa mengi sana lakini Alhamdulillah Nimeyashinda!
Vipi; Nyie wenzangu mlitumia njia gani kujizuia msiyafanye mlojipangia?
TUJUZANE TAFADHALI
NakujaMe pia nimganga karibu sana
Usihofu,nitakupelekaUkipata chance unipeleke na mim kwa uyo.mtalam bass
kweli na imelegea sana hiyo k yakoMie niliapa nitamtunzia mume wangu
Lakini hadi sasa nimeshafanya kama mara 7800
Inawezekana ni hulka yake au kuna kitu kilimtokea ambacho kilisababisha aingie ktk tabia hiyo! Inawezekana ikawa ni kulipa kisasi au.....Mmmmh..maamuzi yanafanywa baada ya factor fulani.. sidhani kama ameamka tuu akafanya maamuzi