Niliyojiapiza kutoyafanya ukubwani yote yamenishinda. Hadi sasa nimeyafanya yote kasoro moja tu

Nilijiahidi sitakuja kuweka mzigo(kubeti)...
Ghetto kwangu kuna boksi zima la peni kwa ajili ya kutikia mikeka.
 
Jana nilikuwa naangalia channel ten walisema ilikuwa siku ya kuzuia kujiua. Yule mwanasaikolojia alisema kuna uwezekano mkubwa kwa mtu aliyewahi jaribu kujiua kurudia tena
Kuna ukweli ukipata shida unawaza hio possibility

Lakini nshajifunza kuwa ngangari no matter what
 
Ndugu zangu!

Mwenzenu nilipokuwa kijana niliapa katu katu sitokuja kujaribu kufanya mambo haya matano!
  1. Niliapa kutozaa watoto nje ya ndoa.... lakini hadi mda huu Leo nina watoto watatu nje ya ndoa inaniuma sana lakini basi tu
  2. Niliapa sitokuja kutembea na mke wa MTU katukatu...Daah kusema ukweli hilo nalo nimepitiwa nimewalaaa sana utafikili wametumwa kunijaribu
  3. Kufanya mapenzi kwenye gari; Yaani nilikuwa nawashangaa sana wanaofanya kwenye gari, lakini siku nilionja nikazoea kwanza hata guest nikaanza kuona ni hasara
  4. Kwenda kwa mganga; Niliapa sitakanyaga kwa mganga, Baada misukosuko ya kikazi nilimtafta mganga mwenyewe bila shurti
  5. Nililofanikiwa hadi sasa nikotokula TGO ya mtu; Kusema ukweli hili nimeshinda ingawa majaribu yalikuwa mengi sana lakini Alhamdulillah Nimeyashinda!
Nilichojifunza Usijiapize kitofanya kitu bila kuwa na ufaham wa namna ya kuepukana nacho.

Vipi; Nyie wenzangu mlitumia njia gani kujizuia msiyafanye mlojipangia?

TUJUZANE TAFADHALI
Je, ulipokwenda kwa mganga matatizo yako yaliisha? Ulifanikiwa?
 
Mmmmh..maamuzi yanafanywa baada ya factor fulani.. sidhani kama ameamka tuu akafanya maamuzi
Inawezekana ni hulka yake au kuna kitu kilimtokea ambacho kilisababisha aingie ktk tabia hiyo! Inawezekana ikawa ni kulipa kisasi au.....
 
Back
Top Bottom