Niliyempenda na kumpa kila kitu naona kama ananipotezea muda

hawajawah kushiriki tendo la ndoa.

Hey!!!

Rekebisha hapo siyo kila mmoja anayefanya ngono anafanya tendo la ndoa,hakuna kitu kinachoitwa kufanya “tendo la ndoa” kabla hajakuwepo/pitisha kiongozi wa Kiimani hivyo inapaswa uandike “hajazini naye/hajafanya naye ngono”.

That's it!
 
Sijaelewa, yani umempa gari na pikipiki, halafu hauombi kubikiri, haya mkuu endelea kusubiri.
Nyie ndio mnafanya wanawake wanatusumbua, mnatoa mali kirahisi na mnaishi kinyonge huku uko fresh.
Muoe sasa fasta, au log in(piga mashine), mpaka umekuja kulia humu inaonekana haujui cha kufanya, na haujafanya maamuzi.
Mkuu huku najaribu kupoza maumivu Ila maamuzi nimeshafanya
 
Hapo punyeto limehusika sana.
Sasa kama una kila kitu cha kumpa si uchukue mwanamke mwingine, usiwe mduanzi.
Tena kama una nafuu ya maisha ndio unachukua chombo kaliii yenye staha zake.
Jamaa anatuzingua tu humu.
 
Amani iwe nanyi.

Nimedumu kwenye mahusiano yapata miaka 3 na miezi 6, sijawahi kutoka nje ya mahusiano na sikuwahi kushiriki tendo la ndoa ndani ya mda huo wote.

Nikiwa bize na mambo yangu ya kutafuta hela, kwa moyo wangu mweupe sipendi uongo kwenye maisha yangu, naona bora tu nitafute maisha mengine.

Anayekupotezea muda anakupotezea maisha.

Ni hivyo tu
Miaka 3 lazima uwe ndafu,yani utakua umenona mashavu na mwili
 
Duuuuh poleeeh sana, kuna rafik angu (virgin) yupo ktk mahusiano na mkaka huu mwaka wa 4 hawajawah kushiriki tendo la ndoa.

Na huyo mkaka anampenda San rafik angu, yaan kajitoa mazima, lakini kumbe rafik angu hata hana future nae, it means wanapoteza muda tyuuuh tena pasipo hata kusex.

Namuonea huruma San, kumuweka uwazi nashindwa kwa kuhofia kupoteza makubaliano yao. Na kuonekana mie mbaya.

Really naumia mnoo kuona mtu anachezewa hisia zake, na kupotezewa muda.
Huyo mwanaume itakua ni malaika kutoka galilaya,yani hana madhara kwa dada zetu
 
Sitaki niende deep zaidi, huyo mkaka ni mpole, mkimya, mchamungu, ana muamini rafiki angu kupita hata %, na huo muda wote wawili hawa waliwekeana ahadi kuwa tendo la ndoa hadi wavishane Pete ya uchumba,

Kwa muda wote huo mkaka amejitoa kwa rafiki angu mazima, bicouz rafiki angu anafuata San matakwa ya huyu mwanaume. Na huyu mwanaume ana mpenda rafik angu couz n aina ya mwanamke amtakae (huwa ana ainisha hivyo mbele yetu na kumsifia mpenziwe).

Ila rafik angu kumbe hana future yeyote na huyu mkaka, huwa ananambia kua ana amini mwanaume was kuwa nae bado hajazaliwa au yupo ila hajajitokeza kwake. Nimejaribu kumsihi San ila nimeshindwa, couz rafk angu n mtu mwenye msimamo na anasema ana uthamini mwili wake na upo kwa ajili ya mtu 1 ambaye atakua mume na baba wa watoto wake kwa mapenzi yake.

Tangu 2016 hadi now. Hawa wapo ndan ya mahusiano na hawajawah kushiriki tendo LA ndoa, na rafk angu still a virgin .
Dawa yake ni ugoro tu,akija kuamka kaliwa bao 5,then asepe zake
 
Usema ukweli mi naweza kuwa mpole kuzidi yeye,ila huo udwanzi sifanyi miaka mitatu unahudumia ili iweje Aixee,au kila mwisho wa mwaka unakagua mzigo km upo
 
Amani iwe nanyi.

Nimedumu kwenye mahusiano yapata miaka 3 na miezi 6, sijawahi kutoka nje ya mahusiano na sikuwahi kushiriki tendo la ndoa ndani ya mda huo wote.

Nikiwa bize na mambo yangu ya kutafuta hela, kwa moyo wangu mweupe sipendi uongo kwenye maisha yangu, naona bora tu nitafute maisha mengine.

Anayekupotezea muda anakupotezea maisha.

Ni hivyo tu
Kuna kitu hujampa ndo maana kakuona boya
 
Duuuuh poleeeh sana, kuna rafik angu (virgin) yupo ktk mahusiano na mkaka huu mwaka wa 4 hawajawah kushiriki tendo la ndoa.

Na huyo mkaka anampenda San rafik angu, yaan kajitoa mazima, lakini kumbe rafik angu hata hana future nae, it means wanapoteza muda tyuuuh tena pasipo hata kusex.

Namuonea huruma San, kumuweka uwazi nashindwa kwa kuhofia kupoteza makubaliano yao. Na kuonekana mie mbaya.

Really naumia mnoo kuona mtu anachezewa hisia zake, na kupotezewa muda.
Hawapendani kwa wanaopendana sex ni kipaumbele cha kwanza Kabisa baada ya kusema ndio tena sex hiyo hutengewa Kabisa siku yake maalumu ambapo vitu mbali mbali huandaliwa kama chakula maji safi ya kunywa matunda vijuisi na vinywaji vingine
Wapendanao hao huvalia nguo za kupendeza kuanzia ndani hadi nje na kujipulizia manukato ya kuvutia kisha hukutana kwa muda muafaka huku kila mmoja akiwahi kuliko mwenzake.
 
Back
Top Bottom