Niliyempenda na kumpa kila kitu naona kama ananipotezea muda

Hey!!!

Rekebisha hapo siyo kila mmoja anayefanya ngono anafanya tendo la ndoa,hakuna kitu kinachoitwa kufanya “tendo la ndoa” kabla hajakuwepo/pitisha kiongozi wa Kiimani hivyo inapaswa uandike “hajazini naye/hajafanya naye ngono”.

That's it!
Sawa pia.
 
Hawapendani kwa wanaopendana sex ni kipaumbele cha kwanza Kabisa baada ya kusema ndio tena sex hiyo hutengewa Kabisa siku yake maalumu ambapo vitu mbali mbali huandaliwa kama chakula maji safi ya kunywa matunda vijuisi na vinywaji vingine
Wapendanao hao huvalia nguo za kupendeza kuanzia ndani hadi nje na kujipulizia manukato ya kuvutia kisha hukutana kwa muda muafaka huku kila mmoja akiwahi kuliko mwenzake.
Heeeeh kumbe ndo inavokuwa? Lakini wao wana misimamo yao.
 
Muambia ukweli sasa
Duuuuh poleeeh sana, kuna rafik angu (virgin) yupo ktk mahusiano na mkaka huu mwaka wa 4 hawajawah kushiriki tendo la ndoa.

Na huyo mkaka anampenda San rafik angu, yaan kajitoa mazima, lakini kumbe rafik angu hata hana future nae, it means wanapoteza muda tyuuuh tena pasipo hata kusex.

Namuonea huruma San, kumuweka uwazi nashindwa kwa kuhofia kupoteza makubaliano yao. Na kuonekana mie mbaya.

Really naumia mnoo kuona mtu anachezewa hisia zake, na kupotezewa muda.
 
Duuuuh poleeeh sana, kuna rafik angu (virgin) yupo ktk mahusiano na mkaka huu mwaka wa 4 hawajawah kushiriki tendo la ndoa.

Na huyo mkaka anampenda San rafik angu, yaan kajitoa mazima, lakini kumbe rafik angu hata hana future nae, it means wanapoteza muda tyuuuh tena pasipo hata kusex.

Namuonea huruma San, kumuweka uwazi nashindwa kwa kuhofia kupoteza makubaliano yao. Na kuonekana mie mbaya.

Really naumia mnoo kuona mtu anachezewa hisia zake, na kupotezewa muda.
Mshauri rafiki yako amtunuku bikra alafu waachane kwa amani
 
Amani iwe nanyi.

Nimedumu kwenye mahusiano yapata miaka 3 na miezi 6, sijawahi kutoka nje ya mahusiano na sikuwahi kushiriki tendo la ndoa ndani ya muda huo wote.

Nikiwa bize na mambo yangu ya kutafuta hela, kwa moyo wangu mweupe sipendi uongo kwenye maisha yangu, naona bora tu nitafute maisha mengine.

Anayekupotezea muda anakupotezea maisha.

Ni hivyo tu
Dah Mjuba haya mambo ya kuaminiana hivi yalipita kitambo sana
Miaka yote hiyo ni hatari hata kwa afya nadhan umejifunza kitu

Karibu kwenye uhalisia sana ila usiingia kwa kasi
 
Sitaki niende deep zaidi, huyo mkaka ni mpole, mkimya, mchamungu, ana muamini rafiki angu kupita hata %, na huo muda wote wawili hawa waliwekeana ahadi kuwa tendo la ndoa hadi wavishane Pete ya uchumba,

Kwa muda wote huo mkaka amejitoa kwa rafiki angu mazima, bicouz rafiki angu anafuata San matakwa ya huyu mwanaume. Na huyu mwanaume ana mpenda rafik angu couz n aina ya mwanamke amtakae (huwa ana ainisha hivyo mbele yetu na kumsifia mpenziwe).

Ila rafik angu kumbe hana future yeyote na huyu mkaka, huwa ananambia kua ana amini mwanaume was kuwa nae bado hajazaliwa au yupo ila hajajitokeza kwake. Nimejaribu kumsihi San ila nimeshindwa, couz rafk angu n mtu mwenye msimamo na anasema ana uthamini mwili wake na upo kwa ajili ya mtu 1 ambaye atakua mume na baba wa watoto wake kwa mapenzi yake.

Tangu 2016 hadi now. Hawa wapo ndan ya mahusiano na hawajawah kushiriki tendo LA ndoa, na rafk angu still a virgin .
Sasa mwambie MUNGU hapangiwi. Akikuletea mtu ukaleta ujuaji kuwa una mtu wako unaemtaka wewe atachezea msoto wa maisha hatoamini.
 
Back
Top Bottom