Niliwakosa sana jamani

Karibu mwaya Carmel ulikoswa sana hapa jamvini. umetuletea zawadi?????:becky::becky::becky::becky:

Zawadi zipo nyingi sana na kila mmoja atapata yake kwa namna yake mydear. I hope asprin na teamo hawajakupa ushauri kama wa nguvu za giza.
 
karibu sana Carmel tulikumiss pia tatizo uliondoka bila kuaga ...:cheer2:

FL1, si unajua ukiaga sana wakati unaenda vitani unaweza ukaahirisha? its hard to say goodbye you know, lakini ukirudi inabidi upige hodi.
 
Namkaribisha tena kwa masikitiko makubwa. Infidelizesheni imepata pigo kubwa kwa kurudi kwake.

Anyway imeandikwa mpende Adui Yako. Karibu tena Carmel, I missed you a lot!:welcome:Back!

Ha ha haaaaa, ndo nisharudi kiranja wa infidelity, ole wenu. btw ni mwezi mtukufu, get a break guys at least muwe mabikra kwa muda:A S 8::A S 8:
 
Hahahahaha dah pole lakini naamini mmesha yamaliza.
Karibu pole sana na mihangaiko naona infidelity hapa kama kawa zinaendelea.
Hata wewe Fidel? i thought you were a good boy.
 
Ha ha haaaaa, ndo nisharudi kiranja wa infidelity, ole wenu. btw ni mwezi mtukufu, get a break guys at least muwe mabikra kwa muda:A S 8::A S 8:
Hahahahaha! Kweli binamu umerudi kwa ari mpya zaidi, kasi mpya zaidi na nguvu mpya zaidi.

Hebu sema kwa sauti kwenye hiyo bold LOL!:confused2::confused2:
 
Hahaha Pole sana yote heri! Welcome back...tulikumiss sana ! Ila topics za infidelity zimeongezeka sana toka upotee....

Thanks Kimey. Ukiona zimeongezeka ujue somo limeeleweka
 
Hahahahaha! Kweli binamu umerudi kwa ari mpya zaidi, kasi mpya zaidi na nguvu mpya zaidi.

Hebu sema kwa sauti kwenye hiyo bold LOL!:confused2::confused2:

Usiseme kwa sauti watu watasikia binamu aaah
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom