Ni wazi kuwa wewe sio mfuatiliaji wa mambo..nakushauri ni heri ungekaa kimya tu
Kwani wakati wa kupiga kura zitaambatanishwa na CV za wagombea?
Na mimi nataka CV ya Mbowe...
...aseee unamzungumzia Mdee !!??? bhahahaaaaa hunatofauti na jingalao kimawazo, watu tunapanga wizara gani ashike we unazungumzia kushinda ..?!! asee we hujielewi nenda kaombewe, bhahaaaaaa ....ngoja ninywe sprite baridiiiii....
Niliwaeleza baadhi ya wabunge wa CHADEMA hawatarudi bungeni mukabeza, sasa mumemuona huyo mgombea wa ACT-WAZALENDO wa Kawe?. Je Halima Mdee ana chake kweli?. Halima Mdee ni kati ya wabunge walioshinda ubunge kupitia mgongo/mvuto wa Dr.Slaa. Usiendelee kubeza wewe wapime Janeth na Mdee uone kama Mdee anafasi kubwa ya kujidai tena. Ukiacha ushabiki lolote laweza kutokea katika jimbo la Kawe.
Wewe mfuatiliaji wa mambo ungeweka hapa hiyo CV.
Halafu sijakuomba ushauri nimeomba CV ya Janet kama huna ungekaa kimya.
Ni vyema kufahamu unamchagua mtu mwenye background ipi kielimu na kiuongozi.
Ya Mbowe mbona ipo tovuti ya bunge na humu jamvini pia imo.
Kutokuwa na CV pia nayo ni CV tu,so sioni haja ya kutoa povu na visingizio
kibao.
Ubunge wenyewe unahitaji kujua kusoma na kuandika lakini ni vyema kufahamu ana kipi zaidi za wapinzani wake ikiwa pamoja na elimu na uzoefu katika of which ni muhimu kuvijua.
Watu humu mmekula buku kumi kumi zenu ili mfanye propaganda, kwa taarifa yenu wapiga kura hasa wale wa ukawa hawana uwezo wa kuingia humu kusikiliza hizo chai zenu.watanzania washafanya maamuzi. Tulieni mnyolewe
HIVI kawe hakuna mgombea wa ccm naona kasaulika wanaongelea wa act? Makubwa haya duuuu. Kweli kifo chenu kibaya sijapata ona
Niliwaeleza baadhi ya wabunge wa CHADEMA hawatarudi bungeni mukabeza, sasa mumemuona huyo mgombea wa ACT-WAZALENDO wa Kawe?. Je Halima Mdee ana chake kweli?. Halima Mdee ni kati ya wabunge walioshinda ubunge kupitia mgongo/mvuto wa Dr.Slaa. Usiendelee kubeza wewe wapime Janeth na Mdee uone kama Mdee anafasi kubwa ya kujidai tena. Ukiacha ushabiki lolote laweza kutokea katika jimbo la Kawe.
Sio kawe tu hata Kibamba, Ilemela na Ukerewe, Biharamulo...CCM inao uhakika wa kupita.