Hilo suala la kufanya kampeni kabla ya wakati ni hoja nyepesi mno na halina mashiko yoyote, kama ni hivyo basi washtakiwe na wale watia nia wengine wa CCM waliokuwa wakijinadi kwa mbwembwe: Mwigulu, Wassira, Muhongo, Kigwangwalla, Membe, Makongoro, Makamba.... Hivi magufuli anapozunguka nchi nzima je sheria za tume ya uchaguzi au msajili wa vyama vya siasa zinaruhusu wagombea wa urais kufanya anachokifanya?