Nilivyounda barakoa ya kielektroniki

Nilivyounda barakoa ya kielektroniki

Mwaka 2021 mwanzoni wakati janga la covid 19 limeshika Kasi na tahadhari zikitolewa ikiwemo kujiweka umbali wa kutosha baina ya mtu na mtu na kuvaa barakoa...
Sio wewe tu una mawazo ya ubunifu, watu wengi tu wanamawazo ya ubunifu ila kuyafanya yawe bidhaa nalo ni jambo la ubinifu..Hata USA, China kuna watu wengi tu wanakufa na bunifu zao.

The simplest way of most scientist and innovator huwa ni kuuza bunifu mfano yule mtanza ia wa gas meter.
Waafrika wengi hawana uwezo wa kuzifanya bunifu zao ziwe product hivyo huziuza Ulaya,USA na sasa China.
Au hushirikiana na Wazungu kuanzisha company na kukuza bunifu zao.

I advice you not only to learn how to innovate but also how to mass ptoduce the product and markert it.
Bill Gste won the game of IT over many IT Guru in USA because he mastered the Art of markerting and selling st very young age.
 
Back
Top Bottom