Hondelo
Senior Member
- Nov 13, 2017
- 155
- 245
Mwaka 2021 mwanzoni wakati janga la covid 19 limeshika Kasi na tahadhari zikitolewa ikiwemo kujiweka umbali wa kutosha baina ya mtu na mtu na kuvaa barakoa, nilipata wazo nitengeneze barakoa ambayo ukiivaa inaku alert unaposogeleana na mtu mwingine kwa umbali wa chini ya mita 2. Halafu nkasikia kuna mashindano ya bunifu za sayansi COSTECH( MAKISATU) nkaona huo ungekua wakati sahihi kukamilisha wazo langu.
NB; (HAYA MAMBO HUWA NI KAMA BURUDANI KWANGU, KWA HIVO KUYAONGELEA HAPA NI KAMA TUU WENGINE WANAVOSIMULIA MATUKIO YALIYOWAHI KUWATOKEA AU KUYAFANYA, MSINIPOPOE SANA BHANA
),,,
Tuendelee.
Nilichkua motion sensor (ile ya infrared) nikaifanyia modification iweze ku operate kwa volt 5 za DC,, lengo ni kuifanya iwe portable na supply yake iwe ni battery za saa, nilifanikiwa kwa hlo kwani haikua kazi ngumu zaidi ya kutoa supply iliyowekwa inayopunguzaga 230V AC to 5V DC kupitia rectifier,
Iko hivi, IR motion sensor hufanya kazi kwa principle ifuatayo; Kwanza huwa mda wote inatuma mionzi ya infrared ambayo haionekani kwa macho ila ni the same na ile inayofanikisha remote control yako kutuma signal kwenye TV yako pale nyumbani wakati unabadili channel n.k.
Na huwa inazalishwa kwenye kale kakitu kama taa hivi mbele ya remote ndo maana ukiziba na kitu kisichopitisha mwanga (opaque) haiwez kufanya kazi na unaweza kuigeuzia nyuma remote yako kwenye kioo na kikaakisi ile mionzi na TV yako ika respond km kawaida au ukitaka kuiona elekeza remote yako kwenye camera ya simu yako na uibonyeze utaona kimwanga flani hivi
ewaaaaa ndo mionzi yenyew hiyo (unaweza kutumia hyo mbinu kujua kama remote yko ni mbovu pia), kama kwenye hiyo miale tumeelewana tuendelee sasa.
Wakati mtu akipita ndani ya eneo sensor ilipofungwa (huwa inaweza ku sense kuishia umbali na upana flani tuu wa eneo) basi ile miali itaakisiwa na mwili wako na kurudishwa kwenye kipokezi ndani ya hiyohiyo circuit ya motion sensor,, hapo mfumo mzima utapata taarifa na ku activate coil ya relay hvo kama tujuavyo relay ni switch so ita close circuit na ku activate mzigo ulioungwa kwayo ikiwa ni taa basi itawaka au kama ni camera ita switch on n.k.... (MPAKA HAPO TUMEJUA NAMNA SENSOR INAVOFANYA KAZI SASA TWENDE KAZI)
Hapa mimi ile relay sikuwa na kazi nayo so nkaitoa pia kupunguza size ya device yangu, sasa pale coil ya relay ipokua ikuchukulia umeme basi mimi nikaunga vibrator ya simu, na supply ya ku operate circuit nzma nliitoa kwenye vi seli vitatu vya saa ( in series) halafu circuit nzima nikaishonea kwenye kimfuko kidogo mbele ya barakoa alafu kuna tundu dogo lililoruhusu ile mionzi kutoka nje (kwenye kale kataa ni kama LED kwa mwonekano hivi).
Kwa hyo ukiivaa hii barakoa yangu unapokaribiana na mtu umbali ambao ni chini ya nilioifanyia setting, ile sensor ita activate ile vibrator ambayo kwa pale ilkua imebana kwenye mkanda mmoja wa barakoa hvo kugusana na ngozi vzuri so ikitetema lazma uihisi Yani ni kama vle cm yako inavo vibrate mfukoni, ndipo utajua umbali uliopo sio salama na utajiweka mbali.
Hii project niliiweka pamoja na ile ya TUTA LA BARABARANI LA KUFUA UMEME but nikawa dis appointed na COSTECH kwa kutochaguliwa kushiriki MAKISATU 2021 nkaichanachana na kufuta picha zote kuihusu ingawa bdae nkaona nlikosea kufuta kwa hasira.
Ziko research nyingi nmewahi zifanya kwa vitendo mengne niliwaza na katka imagination nkaona inawezkana, na nkafanya kama Siri but nmegundua hapa kwetu ntakufa nazo tuu so kama kuna mtu Yuko interested na hizi mambo na anaona akizifanyia kazi zitamletea tija ni vizuri, hata kama sio sasa haya machapisho yataendlea kuwepo vizazi vingi mbele yetu so watatokea watakaoona yanawafaa kama kutakua mazingira wezeshi kwa nyakati zao.
Ahsanteeeh!!!
NB; (HAYA MAMBO HUWA NI KAMA BURUDANI KWANGU, KWA HIVO KUYAONGELEA HAPA NI KAMA TUU WENGINE WANAVOSIMULIA MATUKIO YALIYOWAHI KUWATOKEA AU KUYAFANYA, MSINIPOPOE SANA BHANA
),,,Tuendelee.
Nilichkua motion sensor (ile ya infrared) nikaifanyia modification iweze ku operate kwa volt 5 za DC,, lengo ni kuifanya iwe portable na supply yake iwe ni battery za saa, nilifanikiwa kwa hlo kwani haikua kazi ngumu zaidi ya kutoa supply iliyowekwa inayopunguzaga 230V AC to 5V DC kupitia rectifier,
Iko hivi, IR motion sensor hufanya kazi kwa principle ifuatayo; Kwanza huwa mda wote inatuma mionzi ya infrared ambayo haionekani kwa macho ila ni the same na ile inayofanikisha remote control yako kutuma signal kwenye TV yako pale nyumbani wakati unabadili channel n.k.
Na huwa inazalishwa kwenye kale kakitu kama taa hivi mbele ya remote ndo maana ukiziba na kitu kisichopitisha mwanga (opaque) haiwez kufanya kazi na unaweza kuigeuzia nyuma remote yako kwenye kioo na kikaakisi ile mionzi na TV yako ika respond km kawaida au ukitaka kuiona elekeza remote yako kwenye camera ya simu yako na uibonyeze utaona kimwanga flani hivi

ewaaaaa ndo mionzi yenyew hiyo (unaweza kutumia hyo mbinu kujua kama remote yko ni mbovu pia), kama kwenye hiyo miale tumeelewana tuendelee sasa.Wakati mtu akipita ndani ya eneo sensor ilipofungwa (huwa inaweza ku sense kuishia umbali na upana flani tuu wa eneo) basi ile miali itaakisiwa na mwili wako na kurudishwa kwenye kipokezi ndani ya hiyohiyo circuit ya motion sensor,, hapo mfumo mzima utapata taarifa na ku activate coil ya relay hvo kama tujuavyo relay ni switch so ita close circuit na ku activate mzigo ulioungwa kwayo ikiwa ni taa basi itawaka au kama ni camera ita switch on n.k.... (MPAKA HAPO TUMEJUA NAMNA SENSOR INAVOFANYA KAZI SASA TWENDE KAZI)

muhimu