Malaria Sugu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 2,653
- 266
kucheka huko si kuzarau maoni ya wananchi?? kuna ajabu gani mtu kutaka serikali ya mbili huku kila nchi ikiwa na mamlaka kamili na huku mkiweka mkataba ktk mambo mtakayokubaliana kushirikiana ?? kitendo chao cha kucheka wakati wananchi wanatoa mawazo ni cha dharau na inabidi wakiache mara moja na kuheshimu mawazo ya wananchi hata kama wanaisi haya make sense kwani ndiyo mawazo yao. kuuliza serikali ya tanganyika itatoka wapi huo ni umbumbu wa baregu kwani serikali ya Tanganyika ni serikali ya muungano iichokifanya ni kujigeuza jina na kujiita Tanzania huku ikiongeza eneo la utawala ikiwemo Zanzibar.
nani aliekuambia kicheko kinaashiria jambo moja tu!kucheka huko si kuzarau maoni ya wananchi?? kuna ajabu gani mtu kutaka serikali ya mbili huku kila nchi ikiwa na mamlaka kamili na huku mkiweka mkataba ktk mambo mtakayokubaliana kushirikiana ?? kitendo chao cha kucheka wakati wananchi wanatoa mawazo ni cha dharau na inabidi wakiache mara moja na kuheshimu mawazo ya wananchi hata kama wanaisi haya make sense kwani ndiyo mawazo yao. kuuliza serikali ya tanganyika itatoka wapi huo ni umbumbu wa baregu kwani serikali ya Tanganyika ni serikali ya muungano iichokifanya ni kujigeuza jina na kujiita Tanzania huku ikiongeza eneo la utawala ikiwemo Zanzibar.
sisi tunaitaka Mafia yetu!Wadanganyika tumelala usingizini, hatutakia kuwa na Tanganyika yetu!!! Ajabu sana
Profesa mzima anashangaa tanganyika itatoka wap? Alaaaa! Kwani tanganyika iliyokea wap mpaka ishindwe kuwepo saivi? Twataka nchi yetu vyovyote itakavokua, ilimradi iwe inatambulika kimataifa na tuendeshe mambo yetu wenyewe!!!!!! Tunajivunia UZANZIBARI, mnaokataa tanganyika mshazoea kuwa watumwa!
Kwanza ututake radhi watanganyika wote kati ya watanganyika na wazanzibar, nani watumwa hapa. Nyie si mnatumiwa na OIC na mnadai Zanzibar yenu ili muwe watumwa kamili? Ondokeni tu bwana tumechoka kuwabeba msiobebeka.