Malaria Sugu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 2,653
- 264
Kwa siku 3 mfululizo nilihudhuria utoaji wa maoni wa katiba mpya huko Zanzibar,i. wachangiaji wengi wakitumia sec 30 kwa kutamka maeneno machache
Nilichogundua waznz wengi hawataki kabisa Muungano. naweza kunukuu kidogo kwa faida ya wote
"Tunataka serekali ya Zanzibar inayotumbulika kitaifa na kimataifa"
tunataka serekai yao ya tanganyika watayoamua wenyewe wanayoitaka"
"Tunataka serekali ndogo ya Mkataba"
Kwa jinsi nilivyowaona wajumbe ambao walikuwa ni Mh Baregu, Bi fatma said na DK Salim Ahmed Salim wanacheka na wananongonezana.
Huku Prof Baregu akishangaa na wakati mwengine akiwauliza watoa maoni. "HIyo serekali ya tanganyika itatoka wapi"
PIA swala la mahakama ya kadhi kuingizwa katika katiba