Nilivyopewa masharti na Majini

Jini mtuu

Member
May 22, 2022
45
53
Naitwa Mohammed bin issa. Limo.(ubini)

Mshangao wa jina la ukoo huu sio wewe to unae shanga kila Alie kua na elimu ya tafasiri ya majina na asili yake aliniuliza maswali .

Imekuaje wewe unaitwa limo wakati jina lako na baba yako wote inaonekana ni waislamu ..??

Au baba yako alibadilisha dini..!??

Hapana limo NI jina la ukoo tuu kama majina mengine.

Sawa watu wanakubali wengine kishingo upande lakini maisha yanakwenda.

Usumbufu huu wa swali hili halikukomaa.
Mara kwa mara.
Nilisikia wengine wakiitaa limoo Kama unavyo jua majina ya ukoo hayafi kutoka na mzee wangu mzee issa kuitwa mtaani mze limo mara kwa mara.

Nilizaliwa 6.6 1996. Siku ya alhamisi saa sita usiku

Kwa mujibu wa mzazi wangu wa kike(mama)

Mwaka huo. Wa kuzaliwa kwangu ilisemekana ulikua mwaka wa mwisho wa(umiani & na chinja chinja wachuna ngozi. Na wanyonya damu)

Baadhi ya mikoa ya Tanzania.

Huku sakata Hilo likioneka kuoneka jipya sehemu nyingine.

Kufupisha stories..

Maisha yaliendelea hivyo hivyo.
.wakati natimiza miaka Saba 7
Nilikua maarufu sna kwa ugomvi wizi uuonezi.ubishi uchongashi yaani vuruguu.tuuu

ilifika mahala nikawa Natengwa na watoto wa Rika langu.

Nilikanywa Sanaa kuhusu kua mtulivu lakini wapii
nilikua mmbishi hatari kiasi Cha kumfanya mzee aweze kwenda kwa mganga ili tuu nitulizwe kitalaaam.

Walifanya hivyo

Lakini wapi ndio kwanzaa wameongeza mafuta kwenye ya taa kwenye Moto.

Ilibidi nishindikane maana hata shule yenyewe ikawa kwa mbinde kwenda.

Ikafika mahala niliacha kabisaa..

Na nyumbani nikahama..kwakua nilihisi wananione kabisaa.

Kuna siku nilikutana na na Kaka yake Stanley alinikimbiza na kunikamata alinipa kipigo Cha paka chongo na mbwa mwizi.
Mpka akaniteua mguu
Nilienda kusema nyumbani lakini hawakuniskilizaa kabisaa

Zaid ya kunipaa laaana ..

"Ndio ukome ipo siku tukukute maiti tupumzike..
mtoto gani usie sikia weee ...!?

Bora ufee tuu tujue moja hebu njoo... hapaaa ....kumaninaa weeee mwana mtoka pabaya mwana izzaya wewe yani hili Toto ingekua hiari yangu ningeliuzaaa mbwa kasoro mkia "..

Mama huyoo alionge kwa jazba.
huku akirusha ndala na mwiko.na masuguria ya kusongea ugali ili ajaribu bahati yake ya kunipata..

Nilitoka nduki kukwepa japo nipigwa na mwiko wa kichwa kwakua mguu wangu ulikua hauko sawa..

Stanley alikua matoaka shamba nikamwambia nitakuroga na kukuua Kama huwezj kunipa hiizi ndizi na hayo maji ..
Kwa hofu aliokua nayo Stanley alishindwa kukimbia Wala kubisha alinipa vyote. Nikamwambia alela pale pembeni ya kichaka ili watu wapita njia wasije wakatuona ..

Akafanya hivyoo. Nikula ndizi maana zilikua zimeivaa na nilimuaru asinyanyue macho yake kunitamaza.

Nilikua nimevua shati Niko pekupeku kupitia shati hilo nilijifunga kininja ili wasije eti kunigua Kama NI Mimi.

Basi alichezea bakora za kutosha nikimtaka asilie Wala kwenda kusema..

Baada ya hapo aliondoka na majera ya kutosha alama za fimbo za matakoni na mgongoni nijionea Raha.

Nikahama na kwenda sehemu nyingine.

Nilianza akua sasa gaidi pori was Kijiji .

Kwakua tukio langu la kwanza kujulikana NI lile la kumuukiza Stanley.. wakati natafutwa na wanakijiji zaidi ya siku 3 mfululizo bila mafanikio nilikua narudi nyumbani kulala kwenye zizi la wanyama mbuzi asubuhi kabla hakuja pambazuka vizuri napote .. na kuwatia hasara.

Siku hiyo ya ya nne ndio nikakutana na Kaka yake Stanley mchana kweupe njiani. Aliitwa ftank matola.

Nilihama kabisaa kikijijini ikawa ndio mwanzo na mwisho wa kuwaona wazazi wangu nikiwa Nina hiyo miaka 7.mpaka 8..

Nitokomea pasipo julikana ilisemekana walitafuta kwa hofu kua Huenda nikawa nimeuawa.

Ndio kuyokana na tabia zangu mbaya ilipita wiki ah siku kadhaaa ndio narudi nyumbani.

Lakini kwa safarii hiii

Imepita miezi Sasa na sio kawaida yangu..

Nilikutana na mdada kabisaa jinaye mfahamu kwa jina la betrece ambae mama yake alikua na urafiki na mama yangu.

Kwahiyo niliambiwa nimuite dada na yeye aniite Kaka.

Kaka limo vepe unakwenda wapi sahizi usiku wote huuu.
Aliniuliza kwa taharuki....

"Natafuta mbuzi wetu amepote."
Nilimjibu"
nimjibu huku niiwa nachapa chapa majani kwa fimbo.yangu niyo mchapia Stanley

Lakini kutokana na tabia zangu alijua kabisa nimempanga...

"Aaah.... "Basi sawa mi nakwenda nyumbani nisindike naoogopa pekee yangu" alisema huku anaona Kama aibuu..

Nikamwambia twendee ila siifiki mbali mi nitaishia palee kwenye ule mtii karibu na nyumba ya kina John maduvoo.

Akaniambia sawa ...

Wakati tumeenza safari nilikua makini kukamatwa niishi kimachale sana .. ilibidi nimuache Kama hatua kumi au nane nyuma. Ndio Mimi. Nafuta..

Kumbuka ilikua usiku kwa uzoefu wa akili za Kijijini Kama saa nne hivi yeye alidai ameyoka kuchukua kitabu vcha masomo so unajua Tena nyumba za vijijini moja hapa nyingine kuleee..

Basi wakati anakunja Kona kufika ile sehemu alipo kunja yeye siku monaaa ndio mbara mwezi ilikua kubwa ikiwaka Sanaa Tena baaada ya ile Kona njia ilee ilinyooooka Kama. Imechorwa kwa rulaaa

Laniki sikuomana yule dada... Betrece..

TUSIBIRI PART 2..
THANKS
 
Miaka nane Sasa napiga hesabu ya mwanangu mwenye miaka nane nalinganisha Na story yako duuuuuuh inabid nicheke Kwanza
 
NILIVYO PEWA MASHARTI NA MAJINI.
PART 2.

***********

wakati bite alipo kua haonekani sehemu ile ya kumaliza Kona ..

Nilishaangaa kwa mshangao mkubwa hata nikarudi nyuma mbio maaana nilihisi mtego.

Na njia nikabadilisha kabisaa.. ile tuliyo niliiicha na kukimbilia njia nyingine.

Sikujali miibaa Wala mawe japo nilikua pekupeku..
Hali hiyo nilishaizoea

Nilitoka sehemu ambayo kwakweli sikuwahi kufikiria Wala kujua kwamba kunasehemu za kutisha kiasi kile..

Wakati naangaza nijue wapi pakujiegesha niliona kundi kubwa la watu. Wakiwa wamekusanyika mahali pamoja.

Ilibidi nijifiche manaa nilijua Bado nawindwa..

Wakati nimetulia pale huku nakula chabo ... Pale katikati ya wale watu ulitokea Moto Tena Moto wenyewe ulitokea juu midhiri ya radi.

Ulipiga pale katikati ya wale watu.. mara wale watu wakawa uchi.. wa nyama..

Niliingiwa na uwoga kwakweli nikajua hawa sio watu wa kawaida maanaa nilijuua the waale nj chhinja chinja.wanyonya damu au wachuna ngozi. kwa akili hiyo ya kitoto.

Sikuhema kwanguvu Wala kujitikisa ilibidi nitulie kimyaa kabisaa huku mbara mwezi ikiiingia na kutoka mawinguni..

Mara nikasikia sauti ya mtoto mchanga aliye bebwa kichwa chini miguu juu.. analiaaa..
Kuna mmama moja ndie Alie mshika kiumbe yule yaaan hapo ndioo kabisaa niliamini kua wale ni wanyonya damu.

Basi akawa anaongea lugha isiyo julikana lakini kwambali ndani ya ile lugha Kuna maneno niweza kuyagundua maana yalikalibia kua na kiluga chetu..

Japo kwa uchache neno Kama. nsamba (manayake kimya) kiwele(kiletwe) ndwele (wale) kibonha (kipo )kishosho ....(kimekwisha)

Pia Kuna nyimbo aliiimbaa..
Hapa hata wale wengine walimfuatilizia kwa kuitika.

Bahati mbaya au mzuri na Mimi nilikua na ifaamu lakini NI Kama nyimbo za kusabembelezea watoto...

Wote tunajua hakuna mtu Kati yetu hakuwahi kule mtoto aidha mdogo wake au wajirani pindi mtoto akilia kunazile nyimbo za kuwanyamazishia watoto wasilie....

Wengine huwa wanaimbaa

"kokolikooo mtoto analiaa maaamaa yakeee kaendaa zambiaa akirudi ntakuja kumwambiaa..."

Sasa yule mama alikua anaimba hivii.

"Nkumba wa nkumba insamba suguru kanakawa imwana imunyu ilasa"

Maana take wakubwa kwa wakubwa kuenu kimya (mnyameze)
Mtoto wenu analilia chumvi. (Anataka kitu kitamu au kizuri) Sasa mpeni .

Sasa nilinabaki najiuliza maswali mbona hawa watu wapo uchii mbili mbona wanaimba nyimbo za watoto
Tatu mbona wanaongea kiluga. Nne mbona hata mmoja simjui tano.
Wote NI watu wazima wengine vibibu na vibabu ..

Mtoto yule alinyamaza akalazwa chini Kisha wakataka kumchinjinjaa..

Lakini Kuna mmama mwingine akaja na dawa fulani kwenye chungu Kama majimaji ivi akachovya ile dawa yake na usingaa.

Manaa. Ya usinga (nywele ndefu au manyoya fulani wanaotumia waganga au wachawi katika kazi zao).

Alivyo chovya akawa aanachapa heweni huku akionge maneno nisiyo yajua kabisaa
Alifanya hivyoo huku anarudi kinyume nyume.

Pande zote nne alifanya hivyoo.
Kama NI kuweka ulinzi wakati was shuguli yao rasmi.. ..

Happy likaniijia wazo wale ni wachawi. Wakati wanaendelea na mambo yao ..kwa ile nguvu ya ile dawa

Nilipigaa chafyaa nzitoooo ambayoo wote waligeuka upande nio jifichaaa . Na baadhi ya wengine walianguka kwa uoga

ITAENDELEA SEHEMU YA TATU..
 
20211106_163501.jpg
 
SEHEMU YA TATU..
********************

Chafyaa niliyo ipiga ilizua mtafaruku wa mwingiliano wasijue imetokea wapi..

Hali ya kua wote walijua kua hapa Kuna mtu ambae hakustahili kuwepo katika eneo lile.

Walianzaa kutafuta..
Kwa kutumie singa zao huku wakichapa hewani .

lakini safarii hi niliona vivuli tyuu na sio watu Tena..
Mwisho wa mda kidogo nilishikwa miguu na mtuu akawa ananiburuzaa kunipeleka pale uanjani.

Hatimae wakakuaanyika wachache lakini Kuna badhi ya wengine walikimbia..

Basi katika kushangaa shangaaa mara nikashangazwa kumuona mmama ninaye mfahamu..

Alikua NI mama bite rafikia ake na mama...ambae ninapaswa kumuita mama popote palee..
Kwakua nilishaizoea kumuita mama tangu kitamboo

Mamaaaa..

Nilishaangaa..Sanaa.

Akanichapa na ule usinga usoni nikapoteza fahamu...kabisaa...

Sikujua kilicho endelea Tena palee.

Nakuja kustuka nipo nyuma ya mlango wetu nikiwa ninjaaa sanaaa.

Nikawa najiuliza ilikua ndoto au ukweli huku na jinyooshaa..

Wakati nataka kunyenyuka kutoka pale kwenye Kona ya mlango nikawa nasikia sauti za vilioo.mchanganyikooo..

Vikiashiria msibaaa..
Ilibidi nitoke nie kuangalia kilicho jiri.
Wakati nanyenyukaa tuu nikajikuta nipo uchi.

Nikawa najiuliza maswali mbona nipo uchi..!!!??
Ilibidi niendelee kujibanza

Kwani niliona aibu kuinuka..

Huku nikiwa nimejikunyata.

Kama nasikia baridi..
Aliingie dada mmoja wa makomo tulikua tuna mwita dada tatu..

Nikaona si haba kumuuitaa anisaidie nguo..

Sasa kila nikimuitaaa wapiii
Nilianzaaa kumuita kwa sauti ya chini.

Kama mara 6 hivii laki hakusikiaa.

Ilibidi nianzee kupadisha sautii I'll anisikie lakini wapi..

nilisubiria akiwa anatoka nimuite tena

Ajabu zaidi alipokua anatoka njee naona kabisa ananiangalia na kuniona lakini masikini hasikii..

Nikasema liwalo na liwe hapa napita mbio Kama sio Mimi mpaka ndani navaa nguo napita hivii..

Kweli nikatoka mbio wakati najaribu kukimbia najikuta naelea Kama ndege na sio kutembea Tena ..

Tena nilizidi kujishangaaa mbona hata wale watu wanao Lia na kuomboleza hawa hata habari na Mimi ...!?!!

Ilibidi nisimame kujishangaaa na kuwashangaa watu..

Nikasema Mimi nimekua nani. Tena..??

Wakati naendelea kujitafakari.

Nikamuona mama bite.. na yeye analia akiwa na mama.

Ilibidi niendelee kuelea juu na kumshaangaa kwanini Alie??

Tena na mama yangu nae analia.sasa
Nilichukua majukumu maxito ya kutoka njee

Wakati na mkaribia mama bite..nashangaaa kuona ananiona Tena zaidi ya hapo.

Alinikodolea macho Sanaa kishaa macho yake yakatoa mialeee..

Miale ile ilivyo nipata.
Mimi MWENYEWE nilikaaa chini.

Nikashangazwa na kutokea kwa mama bite mwingine ndani ya mwili wake.. wakawa wawili.

Mmoja alikua na mama mwingine alikua ananifuta akiwa uchi wa mnyama.

Kwakweli nilibaki njia panda maaana hata akili yangu niliipa majukumu zaidi ya mtu mwenye miaka 50.

Pia ashindwe kufikiria vizuri.

Nikajaribu kuinuka ili nikimbie nilushindwa.

Akaja akanikamata na kunirushia kweny mtii mkubwa ulio kua pembeni ya njia..jaribu na hapo kwetu...

TUSIBIRI SEHEMU YA 4
 
Dah Haya bhana😂😂😂

...kumaninaa weeee mwana mtoka pabaya mwana izzaya wewe yani hili Toto ingekua hiari yangu ningeliuzaaa mbwa kasoro mkia "..
 
Naitwa Mohammed bin issa. Limo.(ubini)

Mshangao wa jina la ukoo huu sio wewe to unae shanga kila Alie kua na elimu ya tafasiri ya majina na asili yake aliniuliza maswali .

Imekuaje wewe unaitwa limo wakati jina lako na baba yako wote inaonekana ni waislamu ..??

Au baba yako alibadilisha dini..!??

Hapana limo NI jina la ukoo tuu kama majina mengine.

Sawa watu wanakubali wengine kishingo upande lakini maisha yanakwenda.

Usumbufu huu wa swali hili halikukomaa.
Mara kwa mara.
Nilisikia wengine wakiitaa limoo Kama unavyo jua majina ya ukoo hayafi kutoka na mzee wangu mzee issa kuitwa mtaani mze limo mara kwa mara.

Nilizaliwa 6.6 1996. Siku ya alhamisi saa sita usiku

Kwa mujibu wa mzazi wangu wa kike(mama)

Mwaka huo. Wa kuzaliwa kwangu ilisemekana ulikua mwaka wa mwisho wa(umiani & na chinja chinja wachuna ngozi. Na wanyonya damu)

Baadhi ya mikoa ya Tanzania.

Huku sakata Hilo likioneka kuoneka jipya sehemu nyingine.

Kufupisha stories..

Maisha yaliendelea hivyo hivyo.
.wakati natimiza miaka Saba 7
Nilikua maarufu sna kwa ugomvi wizi uuonezi.ubishi uchongashi yaani vuruguu.tuuu

ilifika mahala nikawa Natengwa na watoto wa Rika langu.

Nilikanywa Sanaa kuhusu kua mtulivu lakini wapii
nilikua mmbishi hatari kiasi Cha kumfanya mzee aweze kwenda kwa mganga ili tuu nitulizwe kitalaaam.

Walifanya hivyo

Lakini wapi ndio kwanzaa wameongeza mafuta kwenye ya taa kwenye Moto.

Ilibidi nishindikane maana hata shule yenyewe ikawa kwa mbinde kwenda.

Ikafika mahala niliacha kabisaa..

Na nyumbani nikahama..kwakua nilihisi wananione kabisaa.

Kuna siku nilikutana na na Kaka yake Stanley alinikimbiza na kunikamata alinipa kipigo Cha paka chongo na mbwa mwizi.
Mpka akaniteua mguu
Nilienda kusema nyumbani lakini hawakuniskilizaa kabisaa

Zaid ya kunipaa laaana ..

"Ndio ukome ipo siku tukukute maiti tupumzike..
mtoto gani usie sikia weee ...!?

Bora ufee tuu tujue moja hebu njoo... hapaaa ....kumaninaa weeee mwana mtoka pabaya mwana izzaya wewe yani hili Toto ingekua hiari yangu ningeliuzaaa mbwa kasoro mkia "..

Mama huyoo alionge kwa jazba.
huku akirusha ndala na mwiko.na masuguria ya kusongea ugali ili ajaribu bahati yake ya kunipata..

Nilitoka nduki kukwepa japo nipigwa na mwiko wa kichwa kwakua mguu wangu ulikua hauko sawa..

Stanley alikua matoaka shamba nikamwambia nitakuroga na kukuua Kama huwezj kunipa hiizi ndizi na hayo maji ..
Kwa hofu aliokua nayo Stanley alishindwa kukimbia Wala kubisha alinipa vyote. Nikamwambia alela pale pembeni ya kichaka ili watu wapita njia wasije wakatuona ..

Akafanya hivyoo. Nikula ndizi maana zilikua zimeivaa na nilimuaru asinyanyue macho yake kunitamaza.

Nilikua nimevua shati Niko pekupeku kupitia shati hilo nilijifunga kininja ili wasije eti kunigua Kama NI Mimi.

Basi alichezea bakora za kutosha nikimtaka asilie Wala kwenda kusema..

Baada ya hapo aliondoka na majera ya kutosha alama za fimbo za matakoni na mgongoni nijionea Raha.

Nikahama na kwenda sehemu nyingine.

Nilianza akua sasa gaidi pori was Kijiji .

Kwakua tukio langu la kwanza kujulikana NI lile la kumuukiza Stanley.. wakati natafutwa na wanakijiji zaidi ya siku 3 mfululizo bila mafanikio nilikua narudi nyumbani kulala kwenye zizi la wanyama mbuzi asubuhi kabla hakuja pambazuka vizuri napote .. na kuwatia hasara.

Siku hiyo ya ya nne ndio nikakutana na Kaka yake Stanley mchana kweupe njiani. Aliitwa ftank matola.

Nilihama kabisaa kikijijini ikawa ndio mwanzo na mwisho wa kuwaona wazazi wangu nikiwa Nina hiyo miaka 7.mpaka 8..

Nitokomea pasipo julikana ilisemekana walitafuta kwa hofu kua Huenda nikawa nimeuawa.

Ndio kuyokana na tabia zangu mbaya ilipita wiki ah siku kadhaaa ndio narudi nyumbani.

Lakini kwa safarii hiii

Imepita miezi Sasa na sio kawaida yangu..

Nilikutana na mdada kabisaa jinaye mfahamu kwa jina la betrece ambae mama yake alikua na urafiki na mama yangu.

Kwahiyo niliambiwa nimuite dada na yeye aniite Kaka.

Kaka limo vepe unakwenda wapi sahizi usiku wote huuu.
Aliniuliza kwa taharuki....

"Natafuta mbuzi wetu amepote."
Nilimjibu"
nimjibu huku niiwa nachapa chapa majani kwa fimbo.yangu niyo mchapia Stanley

Lakini kutokana na tabia zangu alijua kabisa nimempanga...

"Aaah.... "Basi sawa mi nakwenda nyumbani nisindike naoogopa pekee yangu" alisema huku anaona Kama aibuu..

Nikamwambia twendee ila siifiki mbali mi nitaishia palee kwenye ule mtii karibu na nyumba ya kina John maduvoo.

Akaniambia sawa ...

Wakati tumeenza safari nilikua makini kukamatwa niishi kimachale sana .. ilibidi nimuache Kama hatua kumi au nane nyuma. Ndio Mimi. Nafuta..

Kumbuka ilikua usiku kwa uzoefu wa akili za Kijijini Kama saa nne hivi yeye alidai ameyoka kuchukua kitabu vcha masomo so unajua Tena nyumba za vijijini moja hapa nyingine kuleee..

Basi wakati anakunja Kona kufika ile sehemu alipo kunja yeye siku monaaa ndio mbara mwezi ilikua kubwa ikiwaka Sanaa Tena baaada ya ile Kona njia ilee ilinyooooka Kama. Imechorwa kwa rulaaa

Laniki sikuomana yule dada... Betrece..

TUSIBIRI PART 2..
THANKS
Subscribed
 
SEHEMU YA TATU..
********************

Chafyaa niliyo ipiga ilizua mtafaruku wa mwingiliano wasijue imetokea wapi..

Hali ya kua wote walijua kua hapa Kuna mtu ambae hakustahili kuwepo katika eneo lile.

Walianzaa kutafuta..
Kwa kutumie singa zao huku wakichapa hewani .

lakini safarii hi niliona vivuli tyuu na sio watu Tena..
Mwisho wa mda kidogo nilishikwa miguu na mtuu akawa ananiburuzaa kunipeleka pale uanjani.

Hatimae wakakuaanyika wachache lakini Kuna badhi ya wengine walikimbia..

Basi katika kushangaa shangaaa mara nikashangazwa kumuona mmama ninaye mfahamu..

Alikua NI mama bite rafikia ake na mama...ambae ninapaswa kumuita mama popote palee..
Kwakua nilishaizoea kumuita mama tangu kitamboo

Mamaaaa..

Nilishaangaa..Sanaa.

Akanichapa na ule usinga usoni nikapoteza fahamu...kabisaa...

Sikujua kilicho endelea Tena palee.

Nakuja kustuka nipo nyuma ya mlango wetu nikiwa ninjaaa sanaaa.

Nikawa najiuliza ilikua ndoto au ukweli huku na jinyooshaa..

Wakati nataka kunyenyuka kutoka pale kwenye Kona ya mlango nikawa nasikia sauti za vilioo.mchanganyikooo..

Vikiashiria msibaaa..
Ilibidi nitoke nie kuangalia kilicho jiri.
Wakati nanyenyukaa tuu nikajikuta nipo uchi.

Nikawa najiuliza maswali mbona nipo uchi..!!!??
Ilibidi niendelee kujibanza

Kwani niliona aibu kuinuka..

Huku nikiwa nimejikunyata.

Kama nasikia baridi..
Aliingie dada mmoja wa makomo tulikua tuna mwita dada tatu..

Nikaona si haba kumuuitaa anisaidie nguo..

Sasa kila nikimuitaaa wapiii
Nilianzaaa kumuita kwa sauti ya chini.

Kama mara 6 hivii laki hakusikiaa.

Ilibidi nianzee kupadisha sautii I'll anisikie lakini wapi..

nilisubiria akiwa anatoka nimuite tena

Ajabu zaidi alipokua anatoka njee naona kabisa ananiangalia na kuniona lakini masikini hasikii..

Nikasema liwalo na liwe hapa napita mbio Kama sio Mimi mpaka ndani navaa nguo napita hivii..

Kweli nikatoka mbio wakati najaribu kukimbia najikuta naelea Kama ndege na sio kutembea Tena ..

Tena nilizidi kujishangaaa mbona hata wale watu wanao Lia na kuomboleza hawa hata habari na Mimi ...!?!!

Ilibidi nisimame kujishangaaa na kuwashangaa watu..

Nikasema Mimi nimekua nani. Tena..??

Wakati naendelea kujitafakari.

Nikamuona mama bite.. na yeye analia akiwa na mama.

Ilibidi niendelee kuelea juu na kumshaangaa kwanini Alie??

Tena na mama yangu nae analia.sasa
Nilichukua majukumu maxito ya kutoka njee

Wakati na mkaribia mama bite..nashangaaa kuona ananiona Tena zaidi ya hapo.

Alinikodolea macho Sanaa kishaa macho yake yakatoa mialeee..

Miale ile ilivyo nipata.
Mimi MWENYEWE nilikaaa chini.

Nikashangazwa na kutokea kwa mama bite mwingine ndani ya mwili wake.. wakawa wawili.

Mmoja alikua na mama mwingine alikua ananifuta akiwa uchi wa mnyama.

Kwakweli nilibaki njia panda maaana hata akili yangu niliipa majukumu zaidi ya mtu mwenye miaka 50.

Pia ashindwe kufikiria vizuri.

Nikajaribu kuinuka ili nikimbie nilushindwa.

Akaja akanikamata na kunirushia kweny mtii mkubwa ulio kua pembeni ya njia..jaribu na hapo kwetu...

TUSIBIRI SEHEMU YA 4
Semu ya nne naisubiri
 
Back
Top Bottom