kachero dada
Member
- Aug 2, 2019
- 45
- 72
Nimejiridhisha kwani zingine alipiga akiwa hospital na nikamuuliza alichokuwa anaumwa akajibu ni homa tu, na mkewe pia nilipata taarifa ni mgonjwa japo ugonjwa wenyewe sikuambiwa.ukimwi upo wa kumtosha kila mtu ila kupitia picha alizokutumia huwezi kusema umejiridhisha kuwa ana ukimwi.
Sina hamu ni mwezi wa pili sasa na nimeamua kujitunza maisha yangu yoteKwa hiyo tangu siku hiyo hujafanya tena mapenzi?Ila nawe duh!
bado sio udhibitisho huo, labda hata ni tezi dume akaona noma kukuambia.Nimejiridhisha kwani zingine alipiga akiwa hospital na nikamuuliza alichokuwa anaumwa akajibu ni homa tu, na mkewe pia nilipata taarifa ni mgonjwa japo ugonjwa wenyewe sikuambiwa.
sijataka unitukane wala sihitaji maoni yako, wala ukinitukana hainisaidii wala kupunguza chochote. kikumbwa nimejitambua na Mungu ameninusulu dats all.polepole dada, so ulikuwa na mchumba wako na bado ukagawa mwili wako kwa mheshimiwa? hiyo tabia ninakokaa tunaita umalaya sijui kwenu wanaitaje..... Pili huyo mchumba wako ndiyo amefaidika na huo uamuzi wako, maana alikuwa anamahusiano na mtu asie jielewa kabisa wakuitwa chawote.....mwisho unakazi ila unatamaa sana ya maisha ambayo sio kiwango chako, ndo maana ulitembea na mheshimiwa hiyo tabia mtaani kwetu pia tunaita umalaya sijui kwenu wanaitaje..... Kama wanawake wote wapo hivi basi kuoa ni jambo la kipumbavu sana......
Huyo dereva aliyekutonya ulimpa zawadi gani?Hi guys
I hope mko vizuli,
Mimi siyo mgeni huku kama ambavyo mmeniona ila hii id ni ngeni, nimeamua kuficha jina halisi ili niwe huru kushare hili jambo langu ambalo nimekuwa nikitamani niseme ikiwa ni pamoja na kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuniokoa na janga hili.
Awali mimi ni mdada mwenye umri wa miaka 27 nipo kwenye ajira Wizara flani huu mwaka wa 2.
Ilikuwa mwaka jana December ambapo nilipata ka semina Fulani nje, nikiwa safarini nikutana na Waziri mmoja mtu mzima kidogo ( tukasalimiana, of course yeye hakujitembulisha maana ni maarufu ila mimi nilijitambulisha baada ya kusalimiana) tukabadilishana mawasiliano.
Baada ya kuludi nchini tuliendelea kuwasiliana. Siku moja akiwa kikazi Dodoma aliniomba anikatie ticketi ya ndege nifike Dodoma mara moja tukaongee jambo. Siku hiyo nilikuwa bored kiaina nikakubali wito.
Niliondoka kesho yake nikafika Dodoma dereva wake akawa amekuja kunichukua akanipeleka katika makazi yake pale Dodoma. Baada ya kufika kwake nilikaa kidogo nae mwenyeji wangu akawa amefika.
Tuliongea mambo mengi na mvinjo kidogo jamaa akaniambia amenipenda sana ( japo anayo familia) akaniahidi mambo mengi ( sikumbuki ilikuwaje lakini nilijikuta nikifanya mapenzi na huyu mheshimiwa) bao 2 taam sana.
Tukaagana yeye alipata dharula akaondoka kwenda mkoa wa jirani ila akanicha hapo kwake nikalala kesho yake nikachukuliwa na dereva airport nikarudi zangu dar.
Tuliendelea kuwasiliana hapa jamaa ilikuwa kama kakolea maana alionesha kunijali sana. Baada ya siku mbili alisafiri akaenda nje ya nchi. Tukawa bado tunawasiliana vizuri tu
Nakumbuka nilichukua namba ya simu ya dereva wake na siku moja akawa amenipigia tukapiga stori mbili tatu basi ikawa tunasalimia tu. Nakumbuka siku moja huyu kijana aliniambia ( Mheshimiwa anakupenda sana lakini kuwa makini linda afya yako)Mzee huwa anaenda nje ya nchi kutibiwa ( na hii ni siri kubwa ila mimi naijua nimekuambia maana nakupenda) Nikaamua nichunguze maana maneno hayatoshi kujiridhisha.
Nikaendelea kumchunguza huyu jamaa na picha alikuwa ananitumia lakini niligundua kitu kwamba ana ugonjwa ila sikujua ni ugonjwa gani maana kisukari wala presha hakuwa navyo ( Nikagundua ni mwathirika wa H.I.V) nilichanganyikiwa sana nikapunguza mawasiliano nae, mwishowe nikaamua nimblock kila sehemu.
Baada ya miezi minne kuisha nikaanza kupatwa na homa za ajabu ajabu hapa nikajua teyari nimeshaanza kuumwa. Nililia, nikapauka hata kazi zangu za ofisini nikawa sifanyi kiufasaha.
Niliwaza sana hatimaye siku moja nikaamua niende kupima alafu nianze kutumia hizo dawa.
Kufika maabara nikapima, lahaulaaaaaaa, nikawa nipo safi, nililia mbele ya Yule daktari machozi ya kutosha, nikamuomba anipime mara ya pili akapima, nikawa nipo mweupe kabisaaa .
Hii siku sintaisahau katika maisha yangu, ilikuwa siku ambayo nilirudisha matumaini ya kuishi
Kuanzia siku hiyo nikapona vihoma homa nikawa mtu mpya kabisa. ( Hata mchumba wangu ambaye nilikuwa nae nikaamua kuachana nae hadi pale Mungu atakaponipa mume) nilimwambia tu kama unanihitaji fanya unioe full stop.), niliahidi kutokufanya mapenzi tena hadi nikiwa kwenye ndoa ndivyo nilivyomwahidi Mungu.
Lengo la huu uzi ni kukumbushana tu kuwa Ukimwi upo, lakini kwa hili Mungu ameniokoa
Jina la Bwana libarikiwe!
Ukimwangalia vizuri unaweza ukagundua nasema kitu nina uhakika nayobado sio udhibitisho huo, labda hata ni tezi dume akaona noma kukuambia.
Hapana sikumpa chochote ila namshukuru leo na keshoHuyo dereva aliyekutonya ulimpa zawadi gani?
Pole na kila la kheri katika maamuzi hayo mazuri,twende tukapime tulisongeshe!Sina hamu ni mwezi wa pili sasa na nimeamua kujitunza maisha yangu yote
jambo la msingi ambalo nimelibaini kwenye thread yako ni kwamba ulimuamini sana jamaa kiasi ukajisahau na ukaamua kuuza mechi.Hi guys
I hope mko vizuli,
Mimi siyo mgeni huku kama ambavyo mmeniona ila hii id ni ngeni, nimeamua kuficha jina halisi ili niwe huru kushare hili jambo langu ambalo nimekuwa nikitamani niseme ikiwa ni pamoja na kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuniokoa na janga hili.
Awali mimi ni mdada mwenye umri wa miaka 27 nipo kwenye ajira Wizara flani huu mwaka wa 2.
Ilikuwa mwaka jana December ambapo nilipata ka semina Fulani nje, nikiwa safarini nikutana na Waziri mmoja mtu mzima kidogo ( tukasalimiana, of course yeye hakujitembulisha maana ni maarufu ila mimi nilijitambulisha baada ya kusalimiana) tukabadilishana mawasiliano.
Baada ya kuludi nchini tuliendelea kuwasiliana. Siku moja akiwa kikazi Dodoma aliniomba anikatie ticketi ya ndege nifike Dodoma mara moja tukaongee jambo. Siku hiyo nilikuwa bored kiaina nikakubali wito.
Niliondoka kesho yake nikafika Dodoma dereva wake akawa amekuja kunichukua akanipeleka katika makazi yake pale Dodoma. Baada ya kufika kwake nilikaa kidogo nae mwenyeji wangu akawa amefika.
Tuliongea mambo mengi na mvinjo kidogo jamaa akaniambia amenipenda sana ( japo anayo familia) akaniahidi mambo mengi ( sikumbuki ilikuwaje lakini nilijikuta nikifanya mapenzi na huyu mheshimiwa) bao 2 taam sana.
Tukaagana yeye alipata dharula akaondoka kwenda mkoa wa jirani ila akanicha hapo kwake nikalala kesho yake nikachukuliwa na dereva airport nikarudi zangu dar.
Tuliendelea kuwasiliana hapa jamaa ilikuwa kama kakolea maana alionesha kunijali sana. Baada ya siku mbili alisafiri akaenda nje ya nchi. Tukawa bado tunawasiliana vizuri tu
Nakumbuka nilichukua namba ya simu ya dereva wake na siku moja akawa amenipigia tukapiga stori mbili tatu basi ikawa tunasalimia tu. Nakumbuka siku moja huyu kijana aliniambia ( Mheshimiwa anakupenda sana lakini kuwa makini linda afya yako)Mzee huwa anaenda nje ya nchi kutibiwa ( na hii ni siri kubwa ila mimi naijua nimekuambia maana nakupenda) Nikaamua nichunguze maana maneno hayatoshi kujiridhisha.
Nikaendelea kumchunguza huyu jamaa na picha alikuwa ananitumia lakini niligundua kitu kwamba ana ugonjwa ila sikujua ni ugonjwa gani maana kisukari wala presha hakuwa navyo ( Nikagundua ni mwathirika wa H.I.V) nilichanganyikiwa sana nikapunguza mawasiliano nae, mwishowe nikaamua nimblock kila sehemu.
Baada ya miezi minne kuisha nikaanza kupatwa na homa za ajabu ajabu hapa nikajua teyari nimeshaanza kuumwa. Nililia, nikapauka hata kazi zangu za ofisini nikawa sifanyi kiufasaha.
Niliwaza sana hatimaye siku moja nikaamua niende kupima alafu nianze kutumia hizo dawa.
Kufika maabara nikapima, lahaulaaaaaaa, nikawa nipo safi, nililia mbele ya Yule daktari machozi ya kutosha, nikamuomba anipime mara ya pili akapima, nikawa nipo mweupe kabisaaa .
Hii siku sintaisahau katika maisha yangu, ilikuwa siku ambayo nilirudisha matumaini ya kuishi
Kuanzia siku hiyo nikapona vihoma homa nikawa mtu mpya kabisa. ( Hata mchumba wangu ambaye nilikuwa nae nikaamua kuachana nae hadi pale Mungu atakaponipa mume) nilimwambia tu kama unanihitaji fanya unioe full stop.), niliahidi kutokufanya mapenzi tena hadi nikiwa kwenye ndoa ndivyo nilivyomwahidi Mungu.
Lengo la huu uzi ni kukumbushana tu kuwa Ukimwi upo, lakini kwa hili Mungu ameniokoa
Jina la Bwana libarikiwe!
Asante sana, Kwa sasa sihitaji mwanaume bado nafurahia miujiza alonifanyia Mwenyezi munguPole na kila la kheri katika maamuzi hayo mazuri,twende tukapime tulisongeshe!