bwana yule mdudu msikie kwa mwenzako,akipiga kichwani mpaka uje ushtuke kwamba uliumwa na mmoja tu,ni baada ya masaa kadhaa,vinginevyo zile never zinavyorespond ni kama unasikia misumari minne kwenda mbele,unawezasema umepigwa na manyigu saba[emoji1787][emoji1787][emoji1787],kumbe mmoja tu.
sema baada ya siku mbili jeraha linawasha ni raha sana kulikuna[emoji16].