Na hata Sasa idadi ya wanaokimbia sio kubwa sana maana hapa tz Kuna ubora flani ambao sio rahisi kuupata mahali pengineBongo kungekuwa na good service kama umeme maji,usafiri na fursa za ajira kama viwanda, Ni sehemu nzuri kuishi watu wasingekimbilia ovyo kwenda south.
Sana ilinipa amani na namna ya kuvuka ule mtihani viungo vya binadam SA ni biashara kamili tena inafanywa na ma specialistsWangeenda kummaliza wamnyofoe Figo wauze. Duniani ku a deal nyingi chafu. Nadhani kusoma bibilia kulimuokoa huyu
Nilijilipua sana ila Mungu aliingilia kati maana hatari zilikuwa nyingiYaani wewe "dogo" mpaka nakuonea wivu! Kwa umri huo mdogo ulitinga South Africa peke yako, ukiwa hujui lugha! Sijui hiyo ndiyo inaitwa "kujilipua!"
Hongera [emoji122][emoji122][emoji122][emoji120]
Wazimbabwe ni wasomi sana na Wana akili nzuri mno baada ya nchi Yao kuwa na shida wengi wakaenda SA Sasa ukisikia masuala ya kulilia ajira kwa SA ni kwa sababu ya hao lakini pia ni waharifu wazuri sana as wanajua njia za mipakani so wanapiga tukio Kisha wanarudi kwao fasterWazimbabwe waliharibuje?
Si unaona mpaka wali kununulia msosi kabisa 😄 daaah yaani kama mfugo unapelekwa mnadani ukizingatia 18yrs viungo vya motomotoDefinitely jamaa wanakuwa na Lab kabisa ni unapigwa operations za maana viungo vinauzwa wanaenda kula nyama na pombe na vile afya iko poa wasingeacha kitu hata pale mpakani wako selective sana
Sema na maza yako huku nyuma ulimpambania hukumuacha kinyonge sala zake zilikusaidia pia 😁Sana ilinipa amani na namna ya kuvuka ule mtihani viungo vya binadam SA ni biashara kamili tena inafanywa na ma specialists
Maza yake hakujua kama unaruka na mtoto wakeUmakini bro mapenzi na drug vimeletea shida sana watu SA na pale polisi huja kuchukua maiti sio kuokoa
Watu hawana identity anakuua anapotea kwenda hata Durban utampata wapi
Tz ilikuwa ili angalau uaminike kidogo basi wewe sema ni mzanzibar, ila kinyume na hapo ni ngumu sana kuaminiwa.Basi hapo wamepoteza point ila way back wao walikuwa na unafuu kidogo
Ila wa tz ni namba ingine SA hata binafsi nilikuwa nawadanganya na wanakubali kuwa mi sio mtz wao walikuwa wanajua mi mkongomani ilinisumbua sana Pretoria kupata msaada ubalozini
😂😂😂 huku mama hata akijua kama unaruka na mwanae haina shida, kikubwa mtoto mwenyew awe karidhia tu.Maza yake hakujua kama unaruka na mtoto wake
Pia serikali inamlipa kila mzazi mwenye mtoto ambae hapewi huduma na mzazi mwenzake (baba)Hawakupi maana nao hawazai sana Lungi nilimkuta na mtoto mmoja na hakuhitaji kabisa kuzaa tena ila mapenzi wanataka siku nzima (holiday)
Alikuwa sio mwanafunzi lakn 😁😂😂😂 huku mama hata akijua kama unaruka na mwanae haina shida, kikubwa mtoto mwenyew awe karidhia tu.
Mimi wakati naanza uhusiano na shemej yako wa huku (mzazi mwenzangu) kwa vile tunaishi nae distance kidogo, basi kuna muda mungine nilikuwa naenda kulala ukweni, na napiga mchi usiku mzima huku mama mkwe anasikia. Maana chumba cha bint na mama yake vilikuwa vimekamatana alafu vyote ni vyumba vya ndani.
Asubuhi utasikia "My son pliz dont disappointed my daughter cause she love you too much more than the way she love anybody here".
Mi namjibu "Don't worry mamaa, i promise you that i will be always there for her".
Nahisi vile vilio na manung'uniko ya usiku mzima vilikuwa vinampa wakati mgumu bimkubwa, ila aliona bora yeye avumilie ili mwanae aendelee kufaidi mikito 🤣🤣🤣.
Enzi hizo alikuwa bado mwanafunzi, alikuwa anasomea unesi.Alikuwa sio mwanafunzi lakn 😁
huyo Binti alikuwaje kaka...!Nilikuja kwenda baadae miaka ya 2004 ila sio kuishi nilienda kibiashara
Ulizia mademu sumu kutoka South wanatokea pande zipi. Tulishindwana pa kuishi tu. Yeye anataka mi niishi South nikamkatalia. Na yeye bongo kakataa kuishi. Anakujaga mpaka kibosho anapajua.huyo Binti alikuwaje kaka...!
Wanaomjua Nyerere ni hao wanasiasa wa ANC na baadhi ya wale waliosafiri kuja tz nje ya hapo yes warundi reputation Yao sio mbaya SATusitishane basi mkuu!
Unataka kuniambia Warundi wanakubalika SA kuzidi Watanzania?
Hawamjui Nyerere?
Inawezekana endapo hutakuwa na makaratasi ila hii tunaongelea way back kabla ya 2015 Sasa nadhani taratibu zimebadirika ila SA bado haijabadilika inabaki kuwa nchi hatariHata kwa abiria aliyepanda basi la moja kwa moja kutokea Dar kwenda SA kupitia Zimbabwe anaweza kukutana na hiyo changamoto ya kiusalama?