fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,498
- 27,813
hahahaha kapishana na gari la mshahara
Ni heri kuwa na mtazamo chanya maishani, na kamwe usinung'unike kwa mambo ama vitu ambavyo vipo nje ya uwezo wako. Bali unapaswa kushukuru Mungu kwa kile/vile alivyo kuumbaNdomana wanasema.. alieturoga keshakufa hivo kupona tena sijui. majority of us ndo tupo hivo
Ila majaribu sio mazuri jamani
cc Smart911
[emoji2] [emoji2] [emoji2] najua unajaribu kukifikiria kile Kilio cha pale kati
Nimeipenda story yako. Kuna kitu cha kujifunza hapo.Kulikoni mkuu...[emoji134] [emoji134]