Nilivyokoswa kuuawa, kaka yangu akamuua Bibi mchawi aliyemuua kaka yetu na kutoroka

ilikuwa miaka ya late 1980s mpaka middle 1990s mwishoni ndo tunakua kua hivi tunaishi sehemu mmoja inaitwa sinde mkoani mbeya. ilukuwa ni chini juu kulikuwa ni isanga. sisi huku chini sinde. ilikuwa miaka ambayo ungeweza kudhani askari walikuwa likizo maana maisha yalikuwa ya kibabe sana.undava undava. kila sehemu ni ubabe. miaka hiyo kuna wababe mbeya kama akina daudi,shetani n.k watoto wa mama ilikuwa ngumu kuishi maeneo yetu. labda wakaishi uzunguni huko,forest n.k

pilika pilika nyingi zilianzia kwenye mechi za mpira wa miguu. ukisikia leo mnacheza na team ya kutoka nonde au majengo mjue hiyo mechi haitaisha mkaondoka kwa amani. tulikuwa tunajiandaa hasa. kama ni manati,mapanga,visu,magongo n.k kuna jamaa yangu mmoja namkumbuka sana alikuwa anaitwa ezekia huyu alikuwa mbabe jamaa mmoja huwa namfananisha na mayuku wa kwnye gazeti la sani. alikuwa mfupi mweusi ana mikono mikubwa halafu mirefu utadhani sokwe.alikuwa amejaa sana na makovu mengi sana.

ezekia sauti yake ilikuwa muda wote inakoroma maana alikuwa anavuta sana bhangi.saaaana. alikuwa akipenda kuvaa buti zake kama za jeshi kuuubwa mbele zimeinuka hivi halaf na suruali ya kubana. ile buti ilikuwa ndefu pia kuja juu na humo ndani anaficha kisu. kwenye jeans yake tight pia anaweka visu hata viwili halafu anavaa shati refu kufunika juu.

alikuwa anasoma sangu kidato cha pili.akiamua shule anaenda akiamua haendi.ukiingia geto kwake kuna mapicha picha kibao ya watu mbali mbali akina tupac,b.i.g n.k alilipenda maisha ya kigangway.

siku hiyo tulikuwa tumeenda uwanja wa sokoine kuangalia mechi kati ya simba na mecco kama sikosei. nilitoroka home nikajichanganya na kundi letu wana sinde tunaelekea uwanjani ilikuwa ni options mbili.kuruka ukuta au kupita kwenye ile mifereji ya maji machafu.tuliangalia mechi mpira ulivyoisha tukawa tunapita zetu kumbe tumepita jukwaa walilokaa wamekaa watu toka Majengo.mmoja alirusha jiwe likampiga mwenztu mmoja kichwan akachanika damu iliruka kama maji ya bomba lilipopasuka. masela wakapandisha mzuka.ezekia alikuwa kama ana mashetani hivi.akiona damu anapandisha mori.akaanza kutetemeka akacheki juu akawaoana jamaa kama 15 hvi akaanza kupanda huku anapiga kelele za kishujaa.

alimkamata jamaa moja shngoni akamrusha chini yule jamaa alitua hapa miguuni pangu akanyamaza kimya. nikashtuka na jamaa wenzetu nao wakapanda juu kuwafuata washkaji toka majengo.tulipigana ndani ya dk kadhaa polisi wakatia team n magari yao manne. wakaja kututawanisha. tulivyokuwa na akili mbovu tukawageukia polisi na kuanza kupeana nao kichapo. nilikuwa karibu sana na ezekia..inasemekana jamaa alikuwa amechanjia kwa macho yangu nlimwona akimvunja mkono polisi huku akiwa anapigwa virungu na polisi mwingine kama hasikii yeye amekamata mkono akaunyofoa kabisa.

nlichanganyikiwa hapo nilikimbia kuelekea kwenye ile mifereji ya kupitisha maji machafu nikafanikiwa kutoka.... baada ya muda nlimwona mtu anaaanguka chini kwa kishindo.alikuwa ezekia anatua aliruka ukuta. nje hali ilikuwa mbaya kila sehemu ni uwanja wa vita polisi walikuwa wameitana wameongezeka tumetawanyika tunapambana. polisi mmoja alikuwa na mbwa anatukimbiza alipigwa jiwe kichwan akayumba akaanguka na kumwachia yule mbwa ambaye aliendelea kutukimbiza.aliruka kumng'ata mmoja wetu na hapo ezekia alipoona jamaa ameumwa mguu alirudi akamkamata mbwa miguu ya nyuma na kuichana halafu akamshika yule mbwa anatoka utumbo akawa anamfuata polisi mmoja akamchape naye. yule polisi alikimbia ile mbaya.

hali ilikuwa mbaya sana na giza limeingia....polisi wameziba ile njia ya kwenda isanga na huku chini kwenda sangu hakuendeki. nilikimbia na kuingia kwenye mto....unaokatisha sinde na isanga. maji yalikuwa ni baradi nikaingia ndani wakat huo polis wanatufuata sasa wakiwa wengi wengi. kucheki namwona ezekia anapigana na polisi kama wanne hivi.yule jamaa hakuwa wa kawaida. nikaingia kwenye ule mto....polisi kuja kucheki wakasubiri kama ntaibuka maana kina kilikuwa kirefu halafu kuna majani mengi sana...kumbe mwenzao naogelea chini kwa chini mpaka kuja kutokea nyuma ya sehemu moja sikumbuki lile eneo ilikuwa ni gereji au kampuni ya nini lakini ilikuwa imezungushiwa na ndani magari makubwa yalikuwa yakiingia na kutoka.

kufika mbele nikatoka nikiwa na hema sana.kuchecki hivi nikamwona nyoka mkubwa sana....chatu. nilirudi kwenye maji kwa kasi kubwa ile kutua ndani kelele za maji zikawashtua wale maaskari nikasikia tu wakisema yule kulee... haraka wakaanza kuja na mbwa.kumbe yule chatu alishtuka naye akaruka kwenye maji halafu sijui ikawaje akajirusha tena nje maaskari wanafika na mbwa wanakutana na chatu. basi wakadhan nimejibadili chatu..... ilikuwa mshike mshike wakati huo mimi nimetoka tena kwenye maji nimepanda kwenye mti wa mafyurisi ulikuwa pembeni mwa ule mto.

nilisikia tu mbwa akipiga kelele then kukawa kimya...wale maaskari walitowekea huko mbali....sasa issue ikabaki mimi nipo juu ya mti nashukaje na usiku umeingia sana.... baada ya muda kiasi kwenye manyasi nikawa nasikia sauti ya yule chatu akijiburuza mpaka pale karibu na mto.alikuwa mkubwa sana.sikufaham kama alimmeza mbwa au alimkosa... giza lilikuwa limeingia ila kuna mbalamwezi flan hivi.baridi kali inapiga.... usiku huo sikushuka nikalala kwenye mti mpaka asubuh.

ile asubuh nikaangalia kwa umakini sana nikashuka haraka kukimbilia home.kule home walikuwa wamenitafuta ile mbaya.wakajua nitakuwa nmekamatwa na kuwekwa ndani.hivyo wakawa wanamtafuta babu ili akanitoe maaana yeye alikuwa maarufu sana na anaheshimika.

ile ilisambaa jioni ile na usiku walikuwa wameuawa raia watano na maaskari wa 3 nliwaza kuhusu ezekia.ilikuja kuambiwa alisalimika na hakuonekana toka usiku huo ila hakuwa sehemu ya zile maiti au waliokuwa wamewekwa ndani.kwa kipindi kile ilikuwa mara ya mwisho kumwona ezekia.

ilipita miezi kadhaa ikatokea siku moja bro karudi toka shule akawa analalamika kichwa kichwa. baada ya muda tu nimekaa nje nasikia kelele. kwenda ndani bro kavuta. ilikuwa balaah bibi katika kulia lia akaropoka kuwa hiyo ilikuwa kazi ya bibi kashinde. yeye ndo alimuua mtoto.... bro mdogo hakutaka kuuliza zaidi. si tulimwona ameingia ndani ilikuwa mida ya saa 1 kasoro.kumbe alitoka na panga aliruka ukuta akaondoka zake. alimfuata bibi kashinde. alimkuta amekaa ndani huyu bibi kwenye mkeka akitengeneza haijulikani ni nini.bro alimkata kata na panga ile kinyama hasa. akarudi home anavuja damu sisi kumwona tulishtuka sana haraka akaingia chumbani na kutoka na mkoba akatoka ndani speed sana. hatukumwona tena bro.

mara tukasikia kelele nyingi raia wamekuja home wanapiga kelele kuwa bro atolewe ndani.wakaingia na kukuta nako ndani kuna msiba na bro hayupo.inasemekana ni kweli yule bibi alikuwa mchawi.so wakawa katika shughuli zao bibi yetu yeye anagoma kutoa sadaka ila alishakula wa wenzie.so wakaona isiwe issue ndo wakamchukua bro. haraka baba mdogo na shangazi wakamchukua bibi na kumpandisha kwenye landrover ya mzee ba mdogo akatia gear na kuondoka naye. inasemekana alimpeleka nzovye, na siku iliyofuatia alisafirishwa kupelekwa huko mbali sana kyela mpakani wa tanzania na malawi.

baada ya msiba mzee aliamua kutuhamisha wote tuje kuishi huku.mimi ambaye nlikuwa nmeenda kuka mbeya na bibi ikawa ndo mwisho wa kukaa kule.yule bro wetu nlikuja kumwona mwaka 2005 alishakuwa raia wa zambia ana maisha yake huku huwa anakuja kututembelea tu na mbeya anapita juu kwa juu tu.

ni maisha ambayo sisi wengine tunapozungumzia uhuni au ununda tulifanya miaka hiyo...kuchomana vitu kabali mawe ilikuwa ni jambo la kawaida sana. sijajua maisha ya sasa ya huko nonde,sinde,isanga,machinjioni,sokomatola,majengo,uhindini,makunguru n.k
Miaka hiyo niko nzovwe mkuu,na kwenye hiyo mechi nilikuwepo huo mtiti naukumbuka
 
Hadithi yako inatufundisha nini?
 
very interesting naskia mbeya miaka ya nyuma kulikuwa na wababe haswa alaf wachawi mno ,,,
 
Kipindi kile vituo vya police vilikua vichache
Mlema ndio ameleta mambo ya haya ss ivi kila kona kituo cha police

Ila yale maisha yalikuwa mazuri kiaina, siku hizi mtoto mdogo anaweza kumtukana mkubwa kisa tu atakimbilia polisi.

Enzi zile heshima mbele.
 
huyu jamaa alikuwa ni mtu mmoja wa ajabu sana.... sana. alikuwa ni MAFIA HASA. mi huwa namfananisha na MZEE OLE. jamaa alikuwa of course si wakuonea watu. ila akianzisha shughuli yake mtakimbia ninyi... mapolisi walikuwa wanamfaham vizuri sana..inasemekana walikuwa wanamlia timing tu siku moja wamwite jambazi wamshoot. sema alikuwa smart alipenda kutembea na masela na mida ambayo si mibaya. pia alikuwa na machale sana. ilikuwa si jambo la ajabu mkaa kaa naye akasema madogo nakuja mara moja akapotea baada ya dk chache wanakuja maaskari kumuulizia.

kuna mtu amenifuata inbox anasema ni yeye amesoma hii thread kwa huzuni na kumbukumbu ya mchanganyiko wa huzuni na furaha. nime mhoji na naendelea kuhojiana naye nimfaham vizuri zaidi anipe kisa kikubwa zaidi. maana anataka kunambia alipotelea wapi.

ezekie alikua mafia aisee
 
ukimpata Ezekia mwambie naomba namba yake aisee kuna mtu ananiletea shida anisaidie
 
ha ha ha... .... unataka kumtafutia tena majanga... nadhan kwa sasa atakuwa ameacha yale mambo vipi. ukija kumwona we mwenyewe utamwogopa. alikuwa na knuckles balaa.... akikupitishia tu mkono hivi ni kama amekuchubua na msasa. kiufupi jamaa alizaliwa tayari ni sugu. toka akiwa mdogo ilikuwa jambo la kawaida kwake kufanya issue then akakimbia kwenda kulala porini hata week mpaka issue ipoe. huko anaua ndege na wanyama wadogo wadogo.analala kwenye mti na moto alikuwa anajua jinsi ya kuwasha kizaman.alikuwa mtukututu toka akiwa na miaka mitano ndo mara ya kwanza amekimbia kwao na kupotelea msituni.msitu ambao inasemekana huko kijijini ulikuwa unaogopwa kwa kuhofiwa kuwa watu waliokufa au wachawi ndo msitu wao huo.yeye alikaa siku tatu huko na akarudi mzima. kwa wale wanaolifaham daraja la mungu tukuyu huko yeye alijificha kule ndani masaa mawili wakijua amefariki kumbe yupo chini ya maji. kipindi hicho akiwa na miaka 11 tu. jamaa alinifundisha kuwa inawezekana ukakaa chini ya maji na usife.anasema ukikaa baada ya muda flan kuna sehemu za mwili kama masikio zinafunguka na mtu unapumua kama na macho pia yana badilika na kuwa mekundu then unaona chini kama kawaida. na hii experience aliwah kunambia mtu mmoja pia mkoa flan kuwa ni kweli unaweza kaa chini ya maji na kutembea kabisa.

ukimpata Ezekia mwambie naomba namba yake aisee kuna mtu ananiletea shida anisaidie
 
uzuri wa ezekiel au bad seed inasemekana alipozaliwa tu baba yake alisema hii mbegu mbaya .... na ikapelekea jina lake liwe ni BAD au BAD SEED. hilo ndo lilikuwa jina maarufu. yeye hakuwa akionea watu.yeye alipenda kununua hata ugomv wa watu wanaoonewa akaufanya wake. ndo maana aliendelea kupendwa na kuheshimiwa.
Miss natafuta umechelewa, Enzi hizi hayuko kama enzi zile. Umri umeenda halafu busara na ibada kwa wingi. Kamtafute scorpion.
 
uzuri wa ezekiel au bad seed inasemekana alipozaliwa tu baba yake alisema hii mbegu mbaya .... na ikapelekea jina lake liwe ni BAD au BAD SEED. hilo ndo lilikuwa jina maarufu. yeye hakuwa akionea watu.yeye alipenda kununua hata ugomv wa watu wanaoonewa akaufanya wake. ndo maana aliendelea kupendwa na kuheshimiwa.
Okey, mkuu nashukuru kwani hata mimi niliishi Enzi hizo za ubabe, ila wababe niliokuwa nao walikuwa waonevu sana. Ebu tumalizie kwanza story ya BAD SEED.
 
Hii story ni ya kustajabisha ila inavutia.

Tupe nyingi za enzi hizo... sisi wengine wa jana
 
ha ha ha... maisha yamebadilika kweli... maisha yetu zaman ilikuwa ukiwa mwanaume una shughuli nzito sana na mapambano ni mengi sana. ntaendelea kuwaletea.

Back
Top Bottom