thadei kimambo
JF-Expert Member
- Jan 31, 2013
- 220
- 126
Nilivyochomeka mtoto akachomoa,akasema hajazoea.nikambembeleza ili niichomeke akakataa katu, basi nikamsubiri alale ili niichomeke vzuri.alipolala tu basi taratibu nikaichomeka ghafla akastuka na kuichomoa.dah nikaamua nilale hivyo hivyo bila kuichomeka kwasabanu mtoto hakujua umuhimu wa neti, tuling'atwa na mbu weweee!