Niliumizwa sana nashindwa kusahau

MwanawaMUNGU41

JF-Expert Member
Jun 15, 2015
1,036
737
Ndugu zangu mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 35. Niliumizwa sana na mwenzangu baba wa mtoto wangu na nimeachana nae miaka 12 iliyopita.

Mtoto yuko Form One, baba hana hata habari nae, lakini nashukuru mungu nimejitahidi na nitajitahidi apate elimu. Tatizo ni kwamba kila nikiingia kwenye uhusiano mpya nakuwa muoga na sana imefikia hatua sihitaji tena kuwa na mwanaume. Yaani naogopa vitu vilivyonitokea mwanzo na mwisho nahisi sijui kumpenda mtu yaani kuubwaga moyo nakuwa na wasiwasi na kushindwa kujiachia.

Naombeni ushauri nifanyeje ili niwe sawa na wanawake wengine
 
Huu mchezo hauhitaji hasira wala shutuma kwa jinsi X. Si wanawake wala si wanaume wanaowaumiza wenzi wao isipokuwa tunaumizana tu sote; true love ain't there between KE&ME.
Provided that you've got a child, and she is schooling achana na wanaume just live thy life. Pigana kupata chochote cha kula wewe na mwanao basi. After all huwezi kufa kwa kutokuwa na mpenzi au mme why go on being hurt by men kwa kujipa moyo na kujaribu maybe Y atakuwa mwaminifu na mwwnye upendo wa dhati tofauti na X.
NB. Wanaume tunajua sana kutongoza na kumlainisha mwanamke kwa maneno mazuri ambayo humvutia mwanamke na kumfanya ajisikie kuwa in place where she had never ever been tena tukimlaghai na kiss taam na za moto kumbe moyoni nina moja kichwani "namgonga tu huyu manzi then nasepa dem gani hata viuno hawezi anazidiwa na mbwa"
 
Ndugu zangu mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 35. Niliumizwa sana na mwenzangu baba wa mtoto wangu na nimeachana nae miaka 12 iliyopita.

Mtoto yuko Form One, baba hana hata habari nae, lakini nashukuru mungu nimejitahidi na nitajitahidi apate elimu. Tatizo ni kwamba kila nikiingia kwenye uhusiano mpya nakuwa muoga na sana imefikia hatua sihitaji tena kuwa na mwanaume. Yaani naogopa vitu vilivyonitokea mwanzo na mwisho nahisi sijui kumpenda mtu yaani kuubwaga moyo nakuwa na wasiwasi na kushindwa kujiachia.

Naombeni ushauri nifanyeje ili niwe sawa na wanawake wengine

Kama binadamu ulitetimia huwezi epuka hilo utapatwa na msongo wa mawazo na kuishia kufanya dhambi au vitu.vingine vitakavyo kuaibisha bure.

Nakushauri pata mwanaume aliye single au mwenye status kama yako. Kuwa nae wazi na usijibwage mapema. Chukuwa muda mkiwa narafiki... wanaume wengi watapenda kukutumia kama utaharakisha kutoa penzi

Jipe muda msome kwa muda na mchukulie kama rafiki tu. Kuamua kuoana iwe mwisho kabisa mtakapo kubaliana.

Usianze kwa kuwaza ndoa, anza na urafiki ili mkishindwana mnaachana kwa upole...

Again do not commit yourself unless you are very sure. Awe partner tu.. mpime status kwanza.

Kila lakheri bibie.
 
Kuutambua ukweli ni kazi ngumu kidogo kuliko Kuutambua uwongo najaribu kusema tuliza kichwa Sana upe Moya nafasi ya kujifunza zaidi kuhusu...ukishajua haitakutesa....mpaka kufikia maamuzi ya kuzaa na mtu means ulipenda zaidi so tuliza moyo kua makini Sana ata Kama itachukua Muda gani we uwe makini zaidi
 
Ufanyaje uwe kama wanawake wengine? Unataka uwe kama wanawake wengine ndio itasaidia tatizo lako? Unayajua wanayopitia hao wanawake wengine? Acha kutafuta jibu ulilonalo mwenyewe. Ukweli utakuweka huru. Wewe ni dhaifu hauko strong emotionally ndio maana unawaza kuumizwa.....kwani hujui aliwazalo mtu ndilo linamtokea? Ondoa negative thoughts kwenye bongo yako. Enjoy life yako na mtoto wako hakikisha anasome. Ukimpenda mtu mwingine enjoy relationship...kuwa mwerevu kama nyoka.
 
kitu LOVE weka pemben jione we ndo baba ndo mama huyohuyo kama pesa zinakusumbua fungua miladi km y ujenzi wa nyumba z kupanga il iwe ya huyo mtoto akimalza chuo maana ajira zenyew adimu,,,,,, penda kujiweka BUSY!!!!!!! ukihsi unataka kuongeza mtoto RUKSA ila bamtoto asepe ulee usimuwazie,,,, lyf is go on.
 
Kama ilivyo avatar yako pole saana!!
Tuliza akili na moyo wako, kupata amani na amani ya kweli
mtafute Bwn Yesu atakupa amani na utulivu wa kweli!!
Usidharau mtafute Bwn Yesu kwa moyo wako wote usiyumbishwe na mtu au kitu chochote maana maisha ni ya kwako mwenye!!
Matokeo mengine itakuwa ni baraka za Bwn Yesu , hata ulinzi
ni baraka za Bwn, mengine yatafuata baada ya kumpata Bwn Yesu!!
 
Amina
 
Ndugu zangu mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 35. Niliumizwa sana na mwenzangu baba wa mtoto wangu na nimeachana nae miaka 12 iliyopita.

Mtoto yuko Form One, baba hana hata habari nae, lakini nashukuru mungu nimejitahidi na nitajitahidi apate elimu. Tatizo ni kwamba kila nikiingia kwenye uhusiano mpya nakuwa muoga na sana imefikia hatua sihitaji tena kuwa na mwanaume. Yaani naogopa vitu vilivyonitokea mwanzo na mwisho nahisi sijui kumpenda mtu yaani kuubwaga moyo nakuwa na wasiwasi na kushindwa kujiachia.

Naombeni ushauri nifanyeje ili niwe sawa na wanawake wengine

trace back sababu ya yeye kukuumiza kama ulienda wrong had akafanya hvo jirekebishe

siwezi kukushaur uachane na wanaume hapana ww n mwanamke na familia n kitu bora kwa kila mtu na kitakuletea furaha ww pamoja na mwanao
 
Back
Top Bottom