Umeona nini ?Shukuru kwa yote.......leo nimeshuhudia mtu aliyekufa anaoshwa dah....moyoni nikasema kifo kiacheni tu
Itakusaidia nini !?Ulikua unaumwa. Nini
Hujawahi kuosha maiti mkuu..?Shukuru kwa yote.......leo nimeshuhudia mtu aliyekufa anaoshwa dah....moyoni nikasema kifo kiacheni tu
Kujua why mtoa mada alifikia point ya kusema "ni heri waliokufa kuliko walio hai"Itakusaidia nini !?
Mimi niliumwa mgongo kama wiki 3 hivi,niliona mimi ndo mgonjwa kuliko wote duniani. NILIKUA NAWAONEA WIVU WALIOKUWA WANATEMBEA
Kwa hiyo ulitaka tufanyeje mkuu, mbona sikuelewi point yako?Ndugu zangu,
Siwezi kumkifuru Mungu kwa kusema pengine mimi ndio niliugua sana kuliko watu wote au Mimi ndio nimeteseka sana kuliko watu wote, najua wapo walioteseka zaidi yangu haya mara 1,000
Lakini kuugua ni habari nyingine, kwakweli ubinadamu ni kazi sana, tunafurahia maisha tunakunywa tunakula lakini ubinadamu ni kazi,
Nilifululiza zaidi ya miezi sita kitandani nikiugua, kilichoniokoa ni kwamba Mimi ni Mtumishi wa umma hivyo nilikua nikiingiza kipato mwisho wa mwezi sijui kama ningekua siingizi kipato ingekuaje,
Ilifika hatua nikaanza kuona kama bora yao waliokufa maana hawana tena mateso ya kuugua na kuhangaika
Aisee maisha tuliyonayo hapa duniani ni adhabu tosha Mungu atusamehe na moto wa milele!
Mungu awabariki
Jumamosi njema
Wewe ulitaka ufanyeje?Kwa hiyo ulitaka tufanyeje mkuu, mbona sikuelewi point yako?
Pole sana mkuuNdugu zangu,
Siwezi kumkifuru Mungu kwa kusema pengine mimi ndio niliugua sana kuliko watu wote au Mimi ndio nimeteseka sana kuliko watu wote, najua wapo walioteseka zaidi yangu haya mara 1,000
Lakini kuugua ni habari nyingine, kwakweli ubinadamu ni kazi sana, tunafurahia maisha tunakunywa tunakula lakini ubinadamu ni kazi,
Nilifululiza zaidi ya miezi sita kitandani nikiugua, kilichoniokoa ni kwamba Mimi ni Mtumishi wa umma hivyo nilikua nikiingiza kipato mwisho wa mwezi sijui kama ningekua siingizi kipato ingekuaje,
Ilifika hatua nikaanza kuona kama bora yao waliokufa maana hawana tena mateso ya kuugua na kuhangaika
Aisee maisha tuliyonayo hapa duniani ni adhabu tosha Mungu atusamehe na moto wa milele!
Mungu awabariki
Jumamosi njema
Jitahidi uoshe utajionea...Umeona nini ?
Sikuwahi mkuu.....dah....yani hapa nipo na jibapa kutuliza nilichokionaHujawahi kuosha maiti mkuu..?
Ni kweli mkuu,ukiwa na afya njema ndio kila kitu,hebu jaribu kufikiria una mamilioni ya pesa halafu unaumwa,kwa siku sio chini ya vidonge kumi hapo kuna faida gani,hapo unaweza hata kutamani utajiri wote uondoke ili ubaki na afya njema,cha muhimu ni kumtanguliza Mungu katika kila jambo ili atujalie maisha yenye afya njema kila wakati...Nilishawahi andika humu Kuwa starehe ya kwanza ni Kuwa na afya njema uhai uliotulia ndo msingi wa starehe zote na mambo yote ktk hii dunia.
Pole sana mkuu.