Niliugua sana mpaka nikafikia hatua ya kutamka aheri waliokufa kuliko walio hai

muafi

JF-Expert Member
Oct 6, 2015
2,074
4,695
Ndugu zangu,

Siwezi kumkufuru Mungu kwa kusema pengine mimi ndio niliugua sana kuliko watu wote au Mimi ndio nimeteseka sana kuliko watu wote, najua wapo walioteseka zaidi yangu haya mara 1,000

Lakini kuugua ni habari nyingine, kwa kweli ubinadamu ni kazi sana, tunafurahia maisha tunakunywa tunakula lakini ubinadamu ni kazi,

Nilifululiza zaidi ya miezi sita kitandani nikiugua, kilichoniokoa ni kwamba Mimi ni Mtumishi wa umma hivyo nilikua nikiingiza kipato mwisho wa mwezi sijui kama ningekua siingizi kipato ingekuaje,

Ilifika hatua nikaanza kuona kama bora yao waliokufa maana hawana tena mateso ya kuugua na kuhangaika

Aisee maisha tuliyonayo hapa duniani ni adhabu tosha Mungu atusamehe na moto wa milele!

Mungu awabariki

Jumamosi njema
 
dah mkuu pole sana,lakini mbona kichwa wanaugua watu wengi tu,ungekunywa panadol uone inakiwaje.
 
Ndugu zangu,

Siwezi kumkifuru Mungu kwa kusema pengine mimi ndio niliugua sana kuliko watu wote au Mimi ndio nimeteseka sana kuliko watu wote, najua wapo walioteseka zaidi yangu haya mara 1,000

Lakini kuugua ni habari nyingine, kwakweli ubinadamu ni kazi sana, tunafurahia maisha tunakunywa tunakula lakini ubinadamu ni kazi,

Nilifululiza zaidi ya miezi sita kitandani nikiugua, kilichoniokoa ni kwamba Mimi ni Mtumishi wa umma hivyo nilikua nikiingiza kipato mwisho wa mwezi sijui kama ningekua siingizi kipato ingekuaje,

Ilifika hatua nikaanza kuona kama bora yao waliokufa maana hawana tena mateso ya kuugua na kuhangaika

Aisee maisha tuliyonayo hapa duniani ni adhabu tosha Mungu atusamehe na moto wa milele!

Mungu awabariki

Jumamosi njema
Kwa hiyo ulitaka tufanyeje mkuu, mbona sikuelewi point yako?
 
Pole sana mkuu
 
Nilishawahi andika humu Kuwa starehe ya kwanza ni Kuwa na afya njema uhai uliotulia ndo msingi wa starehe zote na mambo yote ktk hii dunia.

Pole sana mkuu.
Ni kweli mkuu,ukiwa na afya njema ndio kila kitu,hebu jaribu kufikiria una mamilioni ya pesa halafu unaumwa,kwa siku sio chini ya vidonge kumi hapo kuna faida gani,hapo unaweza hata kutamani utajiri wote uondoke ili ubaki na afya njema,cha muhimu ni kumtanguliza Mungu katika kila jambo ili atujalie maisha yenye afya njema kila wakati...
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom