bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,370
- 3,956
Asee hiki kizazi cha bongo flava hakitakaa kijirudie.
Savimbi baby
Miss u!!
Savimbi baby
Miss u!!
Sidhan aisee,hii nimeikuta store kwangu ghafula nikakumbuka nilinunua pale Arusha Philips kuna duka lilikua linauza.Mh.
Kweli bado zinapatikana kweli hizi
Na radio1 pia kipindi ladha 10 za bongo ni ladha kweli.Dah umenikumbusha kitambo kidogo wakati huo kiss fm ya mwanza iko juu sana. Inapiga bongo flava balaa