Endeleaaa
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 1,485
- 738
Miaka 20 chama kinapata ruzuku na hakijafanya chochote cha maana kwanini waendelee kupewa ruzuku. Hata kujenga ofisi tu imewashinda wakati wakuu wanakula bata kwenye apatmenti za mamilioni kwa mweziMkuu MACCM wanachama wao hawatoi ada za kila mwaka. Hivyo ruzuku tu haitoshi inabidi wachote pia toka hazina, lakini sitashangaa hili likitokea ili wavimalize vyama vya upinzani na wenyewe wakiendelea kuchota hazina. Jitihada zao nyingine za kuviua vyama vya upinzani hazijafanikiwa.