NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,399
- 13,006
- Thread starter
- #61
Nani huyo mkuuPana mmoja yule modelist anachaji used yake kwa dollar 2000 nje ya Dalali.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nani huyo mkuuPana mmoja yule modelist anachaji used yake kwa dollar 2000 nje ya Dalali.
Mimi sio Dalali wao fika kinondoni studio ulizia wajanja wa pale watakulink mtu wa Kazi hizo
Kama una kipato kidogo atakusumbua, huyo bado ana akili za kitoto hawezi kuishi na mtu matured mwenye principal na malengo ya kesho.Kwa nini iwe one night wakati mjuba nataka nisebenze mpaka mwisho
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Haijalishi mkuu nitaipakaa glisiYaani bado una hamu na hiyo chuma chakavu?
Hatumwagi codes public.
Huyo choka mbaya Namba A wa nini? Hiyo gum walishaitema haina utamu, labda kwa wale mnaokuja leo toka KakonkoPotelea mbali nzi kufia kwenye kidonda Kama akitokea kwenye njia zangu siwezi kulaza damu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mkubwa nimekuja kutafuta connection na Wala siyo ushauri mkuuKama una kipato kidogo atakusumbua, huyo bado ana akili za kitoto hawezi kuishi na mtu matured mwenye principal na malengo ya kesho.
Anataka wanaume wenye akili kama zake
Doo taja jina lake kinyume nyume mkuuHatumwagi codes public.
Mweupe ana kifiga mbinuo hivi babyface
Kila la kheri
Wewe uliyekuja zamani kutoka kazolamimba umesha tumbua kitumbuaHuyo choka mbaya Namba A wa nini? Hiyo gum walishaitema haina utamu, labda kwa wale mnaokuja leo toka Kakonko
Usikute wewe ndiyo huyo Whozoe umekuja kupima upepo sio?Mkubwa nimekuja kutafuta connection na Wala siyo ushauri mkuu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sawa mkuu nipe connection NIKASUUZE mjulubegi /msonobali wangu nikakate kiu ya moyo wangu iliyoitawala nafsi kwa muda mrefuUsikute wewe ndiyo huyo Whozoe umekuja kupima upepo sio?
Kwa taarifa ni kuwa ukiwa na 600k inatosha kumpata Wema kwa one night
Mb dog alimtungia wimbo nass simar na alimkosa piaKipendacho roho, mpaka umeanzisha Uzi umempenda kweli, angekuwa anaimba simple kumpata, ungetunga mistari ya uongo na kweli, ungeenda studio anayerekodia, Sasa bongo muvi kazi kweli.
Muulize. Tafuta hela umeshaambiwa 600k unalia lia. Hupigi bure, wala usitafute huruma hana muda huo wa kukuhurumia
Mcheki Kijana mwenzio Mwijaku umpe hela ya Posho akuunganishe.Sawa mkuu nipe connection NIKASUUZE mjulubegi /msonobali wangu nikakate kiu ya moyo wangu iliyoitawala nafsi kwa muda mrefu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app