Uchaguzi 2020 Nilishawaambia muengueni Tundu Lissu, hamkusikia. Oneni!

Katika wadhulumati je nawewe ummo?hiyondio tofauti ya t lisu nawengine hakizao zipo midomoni sio moyoni hujisifu kwakusema msemakweli nimpenzi mungu kwalisu yeye nyekundu ni nyekundu kamaulifikiria muungano uendelee kudunu kwa ukandamizaji waupande mmoja niupumbavu
 
Kwa hiyo kujenga makanisa ni dhambi.? Sijaona sababu ya muhimu zaid umetanguliza udini tu hapa.



Huyo sio mdini bali ni mfia dini tu, kama yeye ni Muisilamu basi ni bubusa wa Uisilamu kwasababu hajui hata Qur'an (Allah) anatambua makanisa kama nyumba za ibada, sasa inakuaje akatae kujengwa kwa makanisa ??!!🤣
 
Hakuna my mbaya asilimia 100 wala hakuna mzuri asilimia 100 . Mbona anaponda tu ya JPM? Ina maana hana mazuri aliyofanya?
Alishasema mazuri na ya ajabu na ya tofauti na watanguluzi wake aliyofanya magufuli ni kujenga eapoti ya kimataifa kijiji kwao na Kujitengeneze mbuga kule..... Hayo ndo mazuri ya magufuli
 
Nitajie kifungu kuwa allah tabaraka anatambua makanisa kua sehem ya ibada nitajie kifungu kipi then tuendelee, zanzbar ni nchi iliyojengeka kiiman ya kiislamu tangu enzi na enzi. safari hii mtatupa nchi yetu tuendeshe tunavyotaka na masheikh zetu munaowashikiria kwenye magereza yenu mutawatoa tu
Huyo sio mdini bali ni mfia dini tu, kama yeye ni Muisilamu basi ni bubusa wa Uisilamu kwasababu hajui hata Qur'an (Allah) anatambua makanisa kama nyumba za ibada, sasa inakuaje akatae kujengwa kwa makanisa ??!!
 
Kilichomkosesha urais Maalim Zanzibar mwaka 2015 ni lowasa, lowasa alikuwa mgombea bubu, asiye na hoja na asiye na hamsha hamsha matokeo yake Maalim akajikuta yupo peke yake

Safari muarobaini umepatikana, wote Maalim na lisu ni watu wenye misimamo mikali, wasiokubali kuonewa, moto lazima uwake
 
Back
Top Bottom