Nilipopanga pamekuwa balaa sasa

Nilipopanga pamekuwa balaa sasa

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,315
Nimerudi home nikakuta mwenye nyumba kaweka tangazo hilo
 

Attachments

  • 1440347133160.jpg
    1440347133160.jpg
    59.3 KB · Views: 1,138
Nimerudi home nikakuta mwenye nyumba kaweka tangazo hilo

Lo, pole sana mkuu. Nakushauri kati ya sasa na Oktoba 26 tafuta pango la muda mtaa wa Lumumba halafu wasukumie bili jirani zako, chama husika. Natania tu - LOL.
 
Huyu ni kwamba tu hataki kusikia kelele za bongo fleva kapata sababu.
 
Back
Top Bottom