Nilipona kupata UKIMWI nikapata TB

Nilipona kupata UKIMWI nikapata TB

HIV ina mambo mengi sana. Hongera kwa kujua hali yako ni salama, sasa ujitunze na kujijali

Lakini usiwatenge maana wengi wanaopata sio kwa kupenda na sisi bado tuko safarini
Ni Mungu tu
Mtu anapima Leo anakuwa negative anajiapisha weee kwamba harudii tena lakini baada ya mwezi anauza mechi tena.
Sex iache tu iitwe sex
mzabzab
 
Dah yashanikuta hayo asee kudate na demu muathirika, wacha kabisa sema hakua anajua pia ile pisi asee ni ameumbika balaaa alipewa alipozaliwa.

Nimekuja kuambiwa na bi mkubwa mmoja hivi alikua Dr (RIP), baada ya kuniona nae mara kadhaa na ananifahamu huwa nacheza game na mtoto wake, siku akaniita akaniambia ukweli, kuwa kwa professional yake sio sawa lakini mimi na mwanae tuna ushikaji flani inabidi kuniambia ndo akanichana.

Yule dada amezaliwa nao na wazee wake wanatumia dawa na yeye ndo dr wao aisee kidogo nizime hapo tuna wiki 3 kila nikiomba mzigo anachomoa hata kiss hataki. Nikampotezea halafu from no where akaanza kutaka yeye nikawa namkwepa siku moja tukakutana usiku akanisindikiza akataka kunikiss dah nikamkiss juu tu nikasepa hakuniona tena sijui yuko wapi now.
 
Mshukuru Mungu kwa kumkosa
SIO kila unachokita ukakikosa unatakiwa kuumia, vingine ukivipata vitakuumiza
 
Ila Mungu ni mwema sana. Wengi ametuokoa pasi nakujua hatustahili.
Kabisa mkuu, maana mwanzo nilivyoumwa na nkawa sawa nikawa naomba Mungu anifunulie nijue nimepata wapi TB maana mimi nilijua labda ni harakati za dar hapa . Ila kumbe sio hivyo nilikuja ogopa na kuugua nilivyojua.

Kweli usiombe Mungu akionesha kilakitu kwani kuna mengi ya kutisha anatuepusha nayo bila sisi kujua, itoshe tuseme asante sikuzote
 
Dah yashanikuta hayo asee kudate na demu muathirika, wacha kabisa sema hakua anajua pia ile pisi asee ni ameumbika balaaa alipewa alipozaliwa.

Nimekuja kuambiwa na bi mkubwa mmoja hivi alikua Dr (RIP), baada ya kuniona nae mara kadhaa na ananifahamu huwa nacheza game na mtoto wake, siku akaniita akaniambia ukweli, kuwa kwa professional yake sio sawa lakini mimi na mwanae tuna ushikaji flani inabidi kuniambia ndo akanichana.

Yule dada amezaliwa nao na wazee wake wanatumia dawa na yeye ndo dr wao aisee kidogo nizime hapo tuna wiki 3 kila nikiomba mzigo anachomoa hata kiss hataki. Nikampotezea halafu from no where akaanza kutaka yeye nikawa namkwepa siku moja tukakutana usiku akanisindikiza akataka kunikiss dah nikamkiss juu tu nikasepa hakuniona tena sijui yuko wapi now.
Pole sana kile kihoro nilichopitia madhani ulipitia pia, tutulie sana mkuu, ukiumwa kidogo tu unajua tayari ukiamka usiku ukiwaza tu basi usingizi hauji hadi asubuhi.
 
Kabisa mkuu, maana mwanzo nilivyoumwa na nkawa sawa nikawa naomba Mungu anifunulie nijue nimepata wapi TB maana mimi nilijua labda ni harakati za dar hapa . Ila kumbe sio hivyo nilikuja ogopa na kuugua nilivyojua.

Kweli usiombe Mungu akionesha kilakitu kwani kuna mengi ya kutisha anatuepusha nayo bila sisi kujua, itoshe tuseme asante sikuzote

Kama hujawahi kupitia hiyo hali mtu anaweza asiamini. Binafsi niliwahi kuwa na mahusiano na mtu wa aina hiyo alikuwa tayari na maambukizi. Na niliingia kwenye mahusiano kwa kuhisi mimi pia si mzima maana nilipita sehemu zisizofaa. Lakini tulipoachana nilipata ujasiri wa kwenda kupima, kuanzia hapo maisha yangu yalibadilika sana.

Uhai na afya ni zawadi kubwa sana,toka hapo pamoja na muda mwingine kucheza rafu nyingi saana ila kupima na kujitambua ni muhimu sana.
 
Back
Top Bottom