staff ni excutive member kwa wewe kwenye harusi ya mwanao huwezi kuletewa kadi ya mchango sasa wewe ni staff
yn ndo sijaelewa kabisa,kadi za mchango tena
habari mkuu nina mpenzi wangu wa mda kidogo almost just like 2monthly ago
Chase her for p**sy and she'll chase you for cash.
Staff wa mapenzi manake nini eti
bado hujatoa maana,kawaulizeni makonda wa daladala huu msemo ndo wanautumia sana.anamaanisha kuwa yeyye ni mzinzi aliyekubuhu... ameshahonga akapiga mzigo.... ameshakula vya bure...ameshalazimisha game ... yani huyu ni nouma
avata yako tu
bado hujatoa maana,kawaulizeni makonda wa daladala huu msemo ndo wanautumia sana.
Staff wa mapenzi manake nini eti
ni kua makonda wa daladala wanaitana stuff,so mfano ikitokea konda wa daladala nyingine hayuko kazini au gari mbovu ,etc na anataka kwenda sehemu ,atapanda daladala yeyote na konda wa hiyo daladala akimfikia wakati anakusanya nauli kwa abiria,atamwambia yule konda,''mi ni staff''. Akisema hivyo yule konda atajua kuwa yule ni staff mwenzake so hawezi kumdai nauli.nilikuwa najaribu kumbe nimekosa basi tena