Jamani tupo wengi, mwenyewe nimezaliwa siku kama ya leo, nimetafuna ugali zaidi ya miongo mitatu na usheee.!!
Happybirthday charminglady papag leonardo da vince na kan'tangaze
Kisima nawe pia chukua hiiView attachment 173245
Happyyy birthdayyyyyyyyyyyyyy
Miaka mia sabaaaaaaaaa mbeleeeeeeeeeee.
Muwepo na muda tutakao kuwa tunaandika katiba nyingineeeeeeee wote love yuuuu!
Ni kweli mkuu leonardo da vinc. Nilizaliwa enzi zile Nchi ipo kwenye majanga ya Kagera War!
Thanks to my Parents kwa kunipigania!
Nahii ni kwa wale wote ambao kwa njia moja au nyingine hawajaweza kujumuika nasi kuwatakia member wenzetu na wengine wooote a VERY VERY BIG HAPPY BIRTHDAY....!!!'TUNAWAPENDA SANA