Emotional disorderNapenda sana slim girls ( English figure), nilipokutana nae alikua mwembamba sasa ananenepa, sipendi mwanamke mwenye mahips hips na mwili sana, i like models but inaonekana ana asili ya mwili. Nashindwa kuelewa, leaving someone for this reason seems to be ridiculous
ππππ mpe miezi mitatu arudi kwenye mwili wake wa zamani au unapiga chini.
Kumbe slims girls ni ugonjwa wa wengi, mi nimemwambia wife akithubutu kuwa kibonge ajue imekula kwake.Napenda sana slim girls ( English figure), nilipokutana nae alikua mwembamba sasa ananenepa, sipendi mwanamke mwenye mahips hips na mwili sana, i like models but inaonekana ana asili ya mwili. Nashindwa kuelewa, leaving someone for this reason seems to be ridiculous
Yaani sifurahishwi na mwanamke mnene. Samahani lakini.Napenda sana slim girls ( English figure), nilipokutana nae alikua mwembamba sasa ananenepa, sipendi mwanamke mwenye mahips hips na mwili sana, i like models but inaonekana ana asili ya mwili. Nashindwa kuelewa, leaving someone for this reason seems to be ridiculous
You must be insane to fall inlove with looks that can change at anytime. Siku zote tunawaambia focus on traits not looks! Sasa ona unavyoenda kumuumiza mtoto wa watu bila aibu.Napenda sana slim girls ( English figure), nilipokutana nae alikua mwembamba sasa ananenepa, sipendi mwanamke mwenye mahips hips na mwili sana, i like models but inaonekana ana asili ya mwili. Nashindwa kuelewa, leaving someone for this reason seems to be ridiculous
Kwahiyo utamuacha au?Kumbe slims girls ni ugonjwa wa wengi, mi nimemwambia wife akithubutu kuwa kibonge ajue imekula kwake.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Ndio unampenda mtu kwa traits zake ama nafsi yake tu. If you fall inlove with someones heart and soul yeye kuwa bonge au mwembamba havihusiani!Ukipenda mtu bila sababu haya yote hayawezi kuwa shida
Mwambie aanze diet na mazoezi