nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,712
- 14,112
Naam ni miongo kama minne unusu ishapita katika mkoa wa Iringa.
Nyakati hizo mabasi yalikuwa yanasafiri usiku,
Safari yangu ilianzia Kiborlony kuelekea Railway Station.
Treni iliondoka jioni tartiibu tuna ambaa ambaa kuuacha mkoa wa Kilimanjaro,
Nilikuwa daraja la pili la kukaa..."Second sitting" lakini baada ya giza kuingia nikaamua kwenda kukaa buffet,enzi hizo nilikuwa muumini wa Konyagi pamoja na gongo,
Nilikuwa nina chupa yangu ya gongo lakini mezani nimemlaza mzaramo safari imechanganya ...usiku mkubwa tupo Mombo enzi hizo Mombo ilikuwa inasifika kwa vibaka pamoja na kurusha mawe hivyo tukifika Mombo tunafunga madirisha ya bati kunusuru hali hiyo.
Tukafika Dar el salaam usubuhi nina ka hang over huyooo nikaenda manzese kwa mangi fulani alikuwa anauza supu na gongo,,,nikakaa pale mpaka mchana then nikaelekea kupanda basi la Relwe kwa safari ya Iringa.
Nyakati hizo maeneo fulani ya Iringa ambayo kwa sasa yamechangamka walikuwa wanatega nyama za pori hasa nguruwe mwitu pamoja na paa.
Nilikuwa muumini wa gongo ikanilazimu kujichanganya sana vilabuni ili kupata stimu...sasa kutokana na aina ya pombe zilizomo nilikuwa sipati stimu babu mmoja (RIP) akanishauri wakati wa kutoka atanipatia mboga nikaipike kwa ugali.....kwamba itanisaidia,
Namshukuru sana yule mzee ile mboga ya porini(bangi) haikuwa mboga tu...bali ilikuwa ni dawa tosha manake kutokana na ulevi wa kupindukia nilikuwa sina uwezo wa kula chakula,,yaani tonge mbili tatu baasi.
Lakini mboga ile ilinifanya nimalize kisinia halafu nikarudi jikoni kupika ugali mwingine,,,,asubuhi tumbo la kuharisha la ulevi halikuwepo kwani nilipata choo cha kawaida, halafu asubuhi nikapika tena kisinia kingine cha ugali mixer mboga yetu ya majani ofcoz niliiunga na karanga na ka pilipili fulani mixer nyama za porini...
Baada ya siku mbili tatu hamu ya pombe haikuwepo tena, hamu ya kula ikaongezeka, sikusikia baridi tena, kutetemeka mikono kukaisha, hamu ya gongo ikaisha,,uzalishaji ukaongezeka na mboga ile sikuiacha..nikawa nailima kabisa...
HII MBOGA NI ZAIDI YA DAWA>>>>>>ITAENDELEA>>>>>>>>>>>
Ifuatayo ni list ya madawa ya Hospitali yanayotengenezwa na bangi......
1, EPIDIOLEX
2,MARINOL(DRONABINOL)....HII INASAIDIWA WAGONJWA WA UKIMWI
3,CESAMENT...HII INASAIDIWA WAGONJWA WA KANSA..WANAOFANYA CHEMOTHERAPY
4,SATIVEX,,,KWA AJILI YA MAUMIVU MAKALI
Sijui nitapata wapi vibali,,,manake kuna mdau yupo tayari kuwekeza kwani Bangi ya nyanda za juu kusini inafaa sana kwa kutengeneza dawa hizo.
HIZI SHERIA SIJUI WANATUNGA KWA FAIDA YA NANI??? HII NI AJIRA TOSHA.
Baadhi ya bidhaa zitokanazo na bange