Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,629
kuna huyu mama mume wake ni mtu wa kusafiri sana.. mume akiwa safarini kumbe mke akawa anatoka na mwalimu wa chekechea anakosoma mwanae..alitoka na huyo mwalimu ili asamehewe ada ya mwezi sh elfu tisini ili achezee upatu na wanawake wenzake mtaani
la haula ule mchezo wao mchafu mwanamke akapata kisonono na ujauzito juu
ikabidi akatibiwe kisonono na mimba akaitoa
the day anamalizia dozi ya kisonono mume wake akarudi na akapewa haramu ivo ivo! na maisha yakaendelea ,ukute huyu mama sio kisonono tu alipata na ngoma juu!
hii ndio ndoa mbaya nillishawai kuiona katika maisha yangu.
wewe je?
namuonea huruma sana huyu baba!