Nilipe changu usepe

Nilipe changu usepe

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
359,928
Reaction score
828,569
Uchangu ni kazi kama kazi nyingine japo hii hufanyika faraghani, changudoa hasikii utamu wowote anachojua yeye ni kuchojoa uchomeke umalize haja zako umlipe asepe, usijaribu kuleta ufundi wako wa kukata viuno wakati mwenzio yuko kikazi zaidi anachofanya yeye ni kuhesabu dakika zikitimia 5 hujamaliza hiyo ni juu yako na usishangae akikwambia braza nilipe changu nisepe ny.ege zako kamalizie kwa mkeo mimi niko kikazi zaidi au ukitaka ongeza pesa!
 
Kama hawasikii utamu mbona wengine wanaolewa na wanastaafu...
 
Wewe utakuwa mdau mzuri wa hawa watu,mana siamini kama hizi ni stori tu za kitaa.
 
Uchangu ni kazi kama kazi nyingine
futa hii kauli kwanza niweze kuchangia mada,
  • serikali haipati mapato kupitia uchangudoa, hivyo si kazi halali.
  • uchangudoa hauna valid certificate, where is the profession given from? so hii si kazi halali, otherwise jukwaa la kazi lingejaa nafasi za kazi za uchangudoa.
  • Machangudoa hawana haki mbele ya sheria, otherwise, prove mbele ya mahakama ya kadhi! utanyongwa uarabuni wewe! (mfano umetolewa hapo, mimi si muumini wa misikitini)
  • angalia mazingira ya kazi inavyofanyika, its very shaming... ile nayo kazi kweli?
point zimejikita kulingana na mazingira ya Tanganyika tu, otherwise niko tayari kusahihishwa.
 
Uchangu ni kazi kama kazi nyingine japo hii hufanyika faraghani, changudoa hasikii utamu wowote anachojua yeye ni kuchojoa uchomeke umalize haja zako umlipe asepe, usijaribu kuleta ufundi wako wa kukata viuno wakati mwenzio yuko kikazi zaidi anachofanya yeye ni kuhesabu dakika zikitimia 5 hujamaliza hiyo ni juu yako na usishangae akikwambia braza nilipe changu nisepe ny.ege zako kamalizie kwa mkeo mimi niko kikazi zaidi au ukitaka ongeza pesa!

sijaingiza hata buku nishakutsna na stori zs uzinzi dah
 
Asee kazi yao ni ngumu sana. Inaumiza mno. Tizama mwonekano wa sura zao utagundua kitu.
Nikiri kutoka na changu mmoja at my satan age. Nilijitundika viroba kadhaa. Yeye hakucharge mudawise. Alichagi bao moja tu. Nilivovua tu akashtuka. Lakini atafanyaje. Basi tukaanza kazi. Style moja tu missionary. Akanichimba beat. Nikajua anaogopa deep penetration.
Bao haliji naongeza spidi tu amekunja sura. Nikahoji 'nakuumiza?'
akajibu 'nasikia utamu'. But kiukweli miguno ile ni ya maumiv.
Baada ya mda akaniömba niachane nae kwani nampotezea muda.
'bwanaee shika hela yako umekunywa maviroba mengi unanipotezea mda bao lenyewe hupigi'. alisema huku akivaa.
Wanakutana na mengi hawa is not an easy job.
 
futa hii kauli kwanza niweze kuchangia mada,
  • serikali haipati mapato kupitia uchangudoa, hivyo si kazi halali.
  • uchangudoa hauna valid certificate, where is the profession given from? so hii si kazi halali, otherwise jukwaa la kazi lingejaa nafasi za kazi za uchangudoa.
  • Machangudoa hawana haki mbele ya sheria, otherwise, prove mbele ya mahakama ya kadhi! utanyongwa uarabuni wewe! (mfano umetolewa hapo, mimi si muumini wa misikitini)
  • angalia mazingira ya kazi inavyofanyika, its very shaming... ile nayo kazi kweli?
point zimejikita kulingana na mazingira ya Tanganyika tu, otherwise niko tayari kusahihishwa.

Kiukweli huwa nasema siku zote kwa hawa watu serikali inapoteza mapato kwa kujifanya inapambana na vita ambayo kamwe haitashida.
Na hii ni kwasababu ya mfuno wa kiutawala tulionao.
Cha msingi halalisha hii kazi toza kodi hawa watu.
Na kuhusu profession,tukiachia mbali profession za kwenye makaratasi(vyeti) hawa watu wanaweza kuwa wanafanya kazi yao professionally zaidi kuliko wale waliosomea (kwenye field zingine).
 
Mshana Jr umeamkaje mkuu!? Hivi ulikuwa umewekeza kule walikovunja last week nini?
 
Mshana Jr umeamkaje mkuu!? Hivi ulikuwa umewekeza kule walikovunja last week nini?

Hahahahaaa Kiteitei hii ni mada tu lakini yenye uhalisia kabisa tunajitoa tu ufahamu kujifanya hatujui hii kitu lakini ukweli ni kwamba watu wanaendesha maisha yao kupitia uchangu wanasomesha watoto wanawahudumia wazazi vijijini wanalipa kodi za nyumba nk nk! kuna wachangiaji humu jana tu wametoka kupata hii huduma lakini wakija hapa utafikiri sio
 
Wakati mwingine wanapata pesa ya bure kwasababu wao ni lipa kwanza.
Sasa umeshalipa unakutana na changu mapaja yana mabaka mabaka yenye rangi isiyopendeza unashangaa hamu yote inapotea na gegedo halisimami na hela umeshatoa..........inakuwa kama kaiokota.
 
Ni kazi kama kazi nyengine?

ni kweli ukiacha na arguement uhalali wake ni sawa na mchimba makaburi muuza majeneza muuza bhangi na madawa mengine ya kulevya jambazi mwalimu doctor nk! ambapo kila mmoja humshukuru Mungu na kuingiza kipato chake katika mzunguko wa kawaida wa pesa na kukuza uchumi kwa kulipia na kufanya miamala tofauti
 
Kama hawasikii utamu mbona wengine wanaolewa na wanastaafu...

wakirudi hm nao wana wapenzi na husikia raha wakipendwa au maumivu wakitendwa na kuna wanaume wanajua kabisa kuwa wapenzi wao wanafanya kazi gani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom