futa hii kauli kwanza niweze kuchangia mada,
- serikali haipati mapato kupitia uchangudoa, hivyo si kazi halali.
- uchangudoa hauna valid certificate, where is the profession given from? so hii si kazi halali, otherwise jukwaa la kazi lingejaa nafasi za kazi za uchangudoa.
- Machangudoa hawana haki mbele ya sheria, otherwise, prove mbele ya mahakama ya kadhi! utanyongwa uarabuni wewe! (mfano umetolewa hapo, mimi si muumini wa misikitini)
- angalia mazingira ya kazi inavyofanyika, its very shaming... ile nayo kazi kweli?
point zimejikita kulingana na mazingira ya Tanganyika tu, otherwise niko tayari kusahihishwa.