Nilipata kazi sababu ya uzuri

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,559
Reaction score
3,812
Pamoja na kua na vigezo, ila muonekano wangu ulifanya mkuu wa panel awe mpole sana na kuonesha kuvutiwa na mimi, nilipata kazi kirahisi sana.

Baada ya kuingia kazini, nikawa namkwesikutaka ku date eneo la kazi.

Kuna vitu haviwezi ongelewa ila vina athar sana mupnekano ikiwepo, people do judge the way you look even if they have no business with you, they will automatically puts you somewhere is their ranking position.

So km wewe hujajaaliwa uzuri, jitahid uvae vizuri na uwe na kauli nzuri.
 
Umetafunwa we kubali tu
 
Wewe jamaaa una matatizo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…