moto wa maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 4,174
- 3,007
- Thread starter
- #21
mkuu umenena vyema asehhHatujui tu thamani ya tendo la ndoa. Ndio maana linaitwa hivyo, nje ya hapo ni matatizo.
Lile jambo linakuunganisha na mtu unaeshiriki nae, ndio maana maandiko yakasema mbaunganishwa kuwa mwili mmoja na kahaba. Ina maana kama mwenza ana mambo yake, unayavaa na wewe unamwachia ya kwako.
Hamjawahi kujiuliza kwanini watoto wadogo wana kibali na kupendwa na watu wote? Hawana makandokando, wanapokua na kuanza kuongeza mambo mengine ndio hapo unashangaa unachukuwa au kutengwa hata bila sababu ya msingi.
Unapoutoa mwili wako, kumbuka haishii hapohapo tu mnapiachana, ina madhara mapana zaidi.