mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,440
- 2,963
Salamu Sana.
Ama baada ya salamu
Mimi Ni kijana mwenye umri wa miaka 30. Ambaye nimeoa na Nina mtoto mmoja.
Chanzo Cha kuoa Ni umalaya nilikuwa nafanya na binti mmoja HIVi ambaye alinipenda Sana. Ila Mimi nilikuwa na lengo la kumaliza hamu zangu tuuu.
Sasa ikatokea nimafumaniwa, na kuozeshwa kwa lazima (ndoa ya mkeka)
Sasa dah taabu ipo pale pale
Naishi na mwanamke lakini akili yangu haipo kwake kabisaaaaaaaaa....
Ndo pale unaambiwa akifanya kosa la JERO nampa adhabu ya BUKU MBILI.
Hii Hali inaniuma Sana hasa pale ninapomuona anajitoa kwa Kila kitu kwa ajili yangu. Daaah naumiaga Sana .
Je?
Wazee baba na wazee mama
Kuna namna hapo au ndo nimeshaangamia???
NAWASILISHA