Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,237
Wakuu system ya Ualimu ni tofauti na Utumishi mwingine watu waliofanya kazi tofauti na Ualimu ni wajanja wajanja sana wanaweza Kusain deal wewe hata usijue ni vema ukamchukua hata Mtu aliyefanya kazi kwa mda mrefu katika idara Fulani ndani ya Wizara kuliko kumchukua mshika chaki
Mara nyingi wanashindwa Wakikutana na Wajanja wa pale Wizarani waliozoea kupiga deal watapitisha mchanga huku ukiwa huna hata habari.
Mtaalamu wa Mambo ya Saikolojia Leo amekua Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji afadhari angewateua hata Ma professor wa pale SUA wa Water Resource Engineering, Agricultural Engineering
Hivi Pale Wizarani wamekosa hata wakuu wa Idara mbalimbali wakapandishwa vyeo.